PAPA KUJITABIRIA KIFO, WAUMINI WAANZA MAJONZI!
![](http://api.ning.com:80/files/Qvoxp7jhEtLc7v1bf9aWycp66EFGJq3OWBt7VhIOSwpw3-bEEHMJ8u8XZaJImNW57tamyVjRM5GuzwIniIOAMCgVj7c5Nhxl/papa.jpg)
Na Mwandishi Wetu MAJONZI yameanza kuwakuta baadhi ya waumini wa kanisa katoliki Bongo kufuatia kiongozi wao wa dunia, Papa Francis (77) kuweka hadharani hatima ya maisha yake. Papa Francis. Katikati ya wiki hii, Papa Francis akiwa anarejea Vatican kutoka ziarani Korea Kusini alisema anaamini ana miaka miwili au mitatu ya kuishi duniani na si vinginevyo. “Najaribu kufikiria kuhusu dhambi zangu na makosa yangu, siwezi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-2ZXyDyUE9Os/VZY7V5nQb-I/AAAAAAABRGg/Lr3s4L6zKMs/s72-c/Rais%2Bwa%2BJamhuri%2Bya%2BMuungano%2Bwa%2BTanzania%2Bakiongea%2Bna%2BBaadhi%2Bya%2Bviongozi%2Bwa%2Bkidini%2Bwa%2BKikristo%2Bnchini..jpg)
WAUMINI WAANZA KULIOMBEA TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI
![](http://2.bp.blogspot.com/-2ZXyDyUE9Os/VZY7V5nQb-I/AAAAAAABRGg/Lr3s4L6zKMs/s640/Rais%2Bwa%2BJamhuri%2Bya%2BMuungano%2Bwa%2BTanzania%2Bakiongea%2Bna%2BBaadhi%2Bya%2Bviongozi%2Bwa%2Bkidini%2Bwa%2BKikristo%2Bnchini..jpg)
Waumini wa madhehebu tofauti mkoani Tanga wameanza zoezi la kuliombea taifa katika mchakato wa uchaguzi mkuu ujao ili uweze kufanyika kwa amani na utulivu pamoja na kupata viongozi ambao watajali maslahi ya watanzania.Wakizungumza katika ibada maalum ya kuliombea taifa pamoja na kuwasimika baadhi ya viongozi wa makanisa mbalimbali wamewataka watanzania kuacha kushabikia...
9 years ago
Dewji Blog25 Nov
#PAPA TOUR KENYA: Wakenya wampokea Papa kwa mara ya kwanza ujio wake Bara la Afrika!
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akisalimiana na Papa Francis wakati alipowasili mapema leo Novemba 25 katika jiji la Nairobi nchini Kenya.
Papa Francis ameanza ziara yake Afrika kwa kuhimiza umoja, uwazi, kuwathamini vijana na kuyatunza mazingira.
Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki aliwasili Nairobi mwendo wa saa kumi unusu jioni na kukaribishwa kwa shangwe na viongozi wa kisiasa na kidini uwanja wa ndege.
Baada ya kuwasili, alielekea Ikulu ambako alipanda mti kisha kukutana na Rais Uhuru...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6Yn8z8hshnSzsmEtFULgSqp7EIBWm7u0rI*VBAzV1JlzKMK0G39aR9ZRgi0dRgkTMKHnbPqQEWFmYuuwHhcmY9P/1.jpg?width=650)
PAPA FRANCIS AWATANGAZA PAPA JOHN PAUL II, JOHN XXIII KUWA WATAKATIFU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6LjPLZ8wv3cNhlbTsy7JrUTM2lHk7LKEx3fhWQ1eCVjTyT2GAWj7FnsTaVRuDkCnWjUgDBNOL7b8WszlP52NiQWCpjPD97H8/MSIBA.jpg?width=650)
MAJONZI MAZITO IKULU
11 years ago
BBCSwahili02 Jul
Msongo wa mawazo,majonzi na kilio
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-_OnH5PPF5Pc/VPMuuae-s8I/AAAAAAAAXT4/ndals8FhGEk/s72-c/k1.jpg)
KHADIJA KOPA NDANI YA MAJONZI
![](http://1.bp.blogspot.com/-_OnH5PPF5Pc/VPMuuae-s8I/AAAAAAAAXT4/ndals8FhGEk/s1600/k1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-3CKZ46cKi8g/VPMvXk-a3AI/AAAAAAAAXUE/mA1QwFEsLJM/s1600/K6.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ACye_gQnyQ0/VPMugg62hOI/AAAAAAAAXTo/d3k6-UZNZ3o/s1600/k5.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-RUozx0-7VtE/VPMughpdkXI/AAAAAAAAXTs/ZjeA7zzz4wM/s1600/k3.jpg)
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Faceboo
11 years ago
BBCSwahili01 May
Ni majonzi wazazi wakiandamana Nigeria
10 years ago
BBCSwahili03 Dec
Kilio na majonzi kwa waliouawa Mandera
10 years ago
GPLMAJONZI MSIBANI NYUMBANI KWA KOMBA