Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAJONZI MAZITO IKULU

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’ MAJONZI mazito yameikumba Ofisi ya Rais, ikulu jijini Dar es Salaam kufuatia kutokea kwa vifo viwili vya watumishi wa ofisi hiyo wiki iliyopita. Picha ya marehemu Rashidi John Chilwangwa (45). Wa kwanza ni Afisa Usalama wa Taifa Mwandamizi, Silvanus Adriano Mzeru (56) aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana Aprili 29, mwaka huu  maeneo ya Uwanja  wa Ndege wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Khadija Kopa na Wana TOT ndani ya majonzi mazito

Khadija Kopa (kulia) akiwa kwenye majonzi makubwa ya kuondokewa na Jabali la muziki wa kwaya nchini na kiongozi wa TOT Kapteni John Komba.

Khadija Kopa (kulia) akiwa kwenye majonzi makubwa ya kuondokewa na Jabali la muziki wa kwaya nchini na kiongozi wa TOT Kapteni John Komba huku Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nauye akimfariji.

k5

Khadija Kopa (kulia) akilia kwa uchungu na wasanii wenzake wa TOT wakati wa kuhani msiba wa Kapteni John Komba.

 

11 years ago

BBCSwahili

Msongo wa mawazo,majonzi na kilio

Hapa ndipo homa kali ya Ebola ilipowafikisha wakazi wa mataifa ya Afrika Magharibi

 

11 years ago

BBCSwahili

Ni majonzi wazazi wakiandamana Nigeria

Wazazi wa wasichana 230, waliotekwa nyara Kaskazini Mashariki mwa Nigeria, wamefanya maandamano kuiomba serikali ya Nigeria kuongeza juhudi za kuwatafuta watoto wao

 

10 years ago

Vijimambo

KHADIJA KOPA NDANI YA MAJONZI

 Khadija Kopa akilia kwa uchungu baada ya kukutana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye msiba wa kiongozi wa TOT na Mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni John Komba. Khadija Kopa (kulia) akiwa kwenye majonzi makubwa ya kuondokewa na Jabali la muziki wa kwaya nchini na kiongozi wa TOT Kapteni John Komba. Khadija Kopa (kulia) akilia kwa uchungu na wasanii wenzake wa TOT wakati wa kuhani msiba wa Kapteni John Komba
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Faceboo

 

10 years ago

Mwananchi

MAJONZI: Amigolas kuzikwa leo Kisutu

>Mwanamuziki wa bendi ya Ruvu Star inayomilikiwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Hamis Kayumbu Amigolas aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana baada ya kulazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa siku tano, anatarajiwa kuzikwa leo saa 9:00 kwenye makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

MAJONZI MSIBANI NYUMBANI KWA KOMBA

Makazi ya marehemu John Komba, Mbezi Tangi Bovu jijini Dar ...waombolezaji wakilia kwa uchungu nyumbani kwa marehemu…

 

10 years ago

BBCSwahili

Kilio na majonzi kwa waliouawa Mandera

Familia za wachimba machimbo ya kokoto waliouawa na Al Shabaab mjini Mandera leo waliwapokea wapendwa wao baada ya miili yao kufikishwa chumba cha kuhifadhi maiti cha City mjini Nairobi

 

10 years ago

Vijimambo

MAJONZI TELE! FAMILIA YALA KRISMASI NJE!

Familia hiyo ikiwa nje baada ya nyumba yao kuvunjwa. Stori: Deogratius Mongela na Chande AbdallahFamilia moja yenye makazi yake Mtaa wa Mwembe-Madafu, Ukonga jijini Dar, imejikuta ikila Sikukuu ya Krismasi na kulala nje kwa madai kwamba nyumba yao imevunjwa na baada ya kuuzwa kwa mtu mwingine na mwanafamilia anayetajwa kwa jina la Omary Hamisi ambaye ni mtoto mkubwa wa familia hiyo. Akizungumza kwa masikitiko makubwa mbele ya waandishi wetu, mmoja wa wanafamilia hao, Rajabu Hamisi (28)...

 

10 years ago

GPL

PAPA KUJITABIRIA KIFO, WAUMINI WAANZA MAJONZI!

Na Mwandishi Wetu
MAJONZI yameanza kuwakuta baadhi ya waumini wa kanisa katoliki Bongo kufuatia kiongozi wao wa dunia, Papa Francis (77) kuweka hadharani hatima ya maisha yake. Papa Francis. Katikati ya wiki hii, Papa Francis akiwa anarejea Vatican kutoka ziarani Korea Kusini alisema anaamini ana miaka miwili au mitatu ya kuishi duniani na si vinginevyo. “Najaribu kufikiria kuhusu dhambi zangu na makosa yangu, siwezi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani