Rage ataka Yanga ipigwe ki-Brazil
MWENYEKITI wa zamani wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, ameutaka uongozi mpya wa klabu hiyo chini ya Rais Evans Aveva kujipanga ipasavyo kuhakikisha Simba inawafanyia watani wao wa jadi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bquVoc42xDPZ-iHPYXyTADIoFUVNOiI56pDhNT9kYDnfUmS2eu5OqM7nIUv5YXyts2baFauTrL7Br1qPchHSEmMwNNwdLwLJ/okwi1.gif?width=650)
Rage ataja waliomuuza Okwi Yanga
Na Nicodemus Jonas
MWENYEKITI aliyesimamishwa wa Simba, Ismail Rage, amefanya kikao na baadhi ya wanachama wa timu hiyo na kutoa siri kwamba waliomuuza mshambuliaji Emmanuel Okwi kwa Yanga ni Waganda, SC Villa, lakini akasisitiza ni hujuma kutoka ndani ya klabu hiyo.
Emmanuel Okwi. Championi…
10 years ago
Vijimambo17 Apr
Rage awaita Simba kuishangilia Yanga
![](http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2687292/highRes/993090/-/maxw/600/-/9l7j5yz/-/rage+picha.jpg)
Kwa kawaida Simba na Yanga huwa hazishangiliani hata iweje kutokana na upinzani uliopo baina yao.JUMAMOSI Yanga itashuka Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuivaa Etoile Du Sahel ya Tunisia katika mechi ya mkondo wa kwanza ya raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika.Kwa kawaida Simba na Yanga huwa hazishangiliani hata iweje kutokana na upinzani uliopo baina yao.Hata hivyo Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Ismail Aden Rage, ameamua kuweka kando itikadi...
10 years ago
BBCSwahili24 Jun
Mwaka 1 tangu miraa ipigwe Maruku Ulaya
Ni mwaka mmoja tangu serikali ya Uingereza na mataifa ya ulaya kupiga marufuku uuzaji na utumiaji wa miraa.Wakulima wa zao hilo Kenya walalama
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iAT0B9wCR3CJh-KGw7Bw*gfdnPnd39g*4t-O7h3Nk9rb0SxVHGuJ4uOuCZjplaCjgpvMKTT622lEOpbMDCiR4ssScSDakjwZ/maalimseif.jpg?width=650)
MAALIM SEIF: IPIGWE KURA YA SIRI BUNGENI
WIKI iliyopita safu hii, kutokana na mambo ya kiitifaki, ilihamia Ofisi Ndogo ya Chama Cha Wananchi, CUF, Buguruni, Dar na kukutana na Katibu Mkuu wake ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamadi na kufanya naye mahojiano maalum. Waandishi Elvan Stambuli (pichani juu kushoto) na Ojuku Abrahamu walimhoji mambo mbalimbali na baadhi ya maswali na majibu ni haya yafuatayo: Mwandishi: Ipo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yLeW*7VDqh8QxF4DS0Cm-5M8uq3uRFCV1zghEfiT5wo90FRS30BGRAV1xrJTHKqUBbmFshepJRt2c57qy1T6*KV/yanga.gif?width=650)
Yanga yafuata kocha Brazil
Aliekuwa kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Ezekiel Kitula
MAKOCHA kutoka nchi mbili za Brazil na Uholanzi ndiyo wenye nafasi ya kuifundisha Yanga msimu ujao.
Habari za uhakika kutoka Yanga zinaeleza, Yanga inataka kupata kocha Mholanzi ili kuendeleza utamaduni wa Kiholanzi baada ya kufundishwa na Ernie Brandts na Hans van der Pluijm. Lakini kama mambo hayataenda vizuri itaangalia nchi nyingine na Brazil ndiyo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vcB-R4TFh6ouJdy1k-OQ5-WU8x8esaO0K*BBCAOBQJdGyyIuie45y4OILCysBbRVdpar73qU8S0MU2pTwmi0mViVW0AKyJY5/1.jpg?width=650)
MSHAMBULAJI KUTOKA BRAZIL ATUA YANGA
Coutinho akiwa katika pozi.
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Mohammed Binda (kushoto), akiwa akiwa na Coutinho baada ya kuwasili uwanjani hapo.
Msemaji wa Yanga,…
10 years ago
Mwananchi24 Mar
Cannavaro ataka mabao mengi Yanga
Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amewataka wachezaji wenzake kuhakikisha wanafunga mabao mengi na kutoruhusu bao katika kila mechi watakayocheza kama wana nia ya kuipokonya ubingwa Azam FC.
9 years ago
Mwananchi15 Aug
Hall ataka kuiua Yanga mapema
Kocha wa Azam FC, Stewart Hall amewataka wachezaji wake kutafuta ushindi wa mapema katika mechi yao ijayo ya Ngao ya Hisani dhidi ya Yanga itakayochezwa Agosti 22 uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Maximo aaga Yanga arudi kwao Brazil
Aliyekuwa kocha wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo ameondoka kurudi kwao Brazil na kuitakia klabu yake ya zamani kila la kheri.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania