Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SANDRA ATOKA NDUKI KISA AIBU

Stori: Shani Ramadhani
MSANII wa filamu Bongo, Salma Salmini ‘Sandra’ alijikuta akitoka nduki katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar kwa kukwepa aibu baada ya timu yao ya Bongo Movie Unity kufungwa na Bongo Fleva bao mbili bila. Msanii wa filamu Bongo, Salma Salmini ‘Sandra’ Sandra alionekana akitimka mapema uwanjani baada ya mechi kuisha huku akisema anaona aibu kupokea kipigo hicho ambacho kimejirudia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

POLISI AMGONGA MTOTO, ATOKA NDUKI, ATELEKEZA GARI

Na DUSTAN SHEKIDELE, MOROGORO POLISI mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja, aliyekuwa akiendesha gari kwa mwendo wa kasi, Jumapili iliyopita alimgonga mtoto wa kike, Zahara Almeda katika barabara ya Mji Mpya. Mtoto Zahara Almeda aliyegongwa na polisi huyo. Katika tukio ambalo mwandishi wa habari hizi alilishuhudia, mara tu baada ya kumgonga mtoto aliyekuwa akitoka sokoni kununua magimbi na mihogo, askari huyo aliteremka...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba aibu yetu, aibu yao...

Azam imezidi kunyemelea ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu baada ya kuichapa Simba 2-1, huku mabingwa watetezi Yanga wakichapwa 2-1 na wachezaji 10 wa Mgambo Shooting kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

10 years ago

Mwananchi

Aibu yetu, aibu yao...

Tambo, ngebe zilizotawala vinywa vya mashabiki, viongozi wa Yanga na, Simba zinafikia mwisho leo kwa pambano linalozikutanisha timu hizo mbili.

 

10 years ago

Tanzanians Lack Reading Culture

Sandra Mushi


Sandra Mushi - Tanzanians Lack Reading Culture
AllAfrica.com
TANZANIANS do not have a strong reading culture, may be it's because books are often expensive or many do not like reading books, but when it comes to investing in knowledge nothing is pricey. Something should be done beginning with children by ...

 

9 years ago

GPL

40 YA MTOTO WA SANDRA KIVUTIO

Imelda Mtema SHEREHE ya kutimiza siku 40 tangu azaliwe mtoto wa msanii nyota wa Bongo Movies, Salama Salmini ‘Sandra’ aitwaye Khaliam zilikuwa kivutio baada ya kuhudhuriwa na mastaa na watu mbalimbali ilipofanyika nyumbani kwa wazazi wa msanii huyo, Tegeta Kibaoni, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1hFA9ea ...

 

11 years ago

GPL

SANDRA: WASANII TUMRUDIE MUNGU

Msanii wa filamu Bongo, Salma Salmin ‘Sandra’ akilia kwa huzuni baada ya kifo cha Adam Kuambiana. Stori: Gladness Mallya KUFUATIA kifo cha msanii mkongwe wa filamu Bongo, Adam Kuambiana, msanii mwenzake, Salma Salmin ‘Sandra’ amewataka wasanii kubadili mfumo wa maisha na kumrudia Mungu. Baadhi ya wasanii na jamaa wa karibu wa marehemu Adam Kuambiana wakiuchukua mwili.
Akizungumza na… ...

 

11 years ago

GPL

SANDRA AONYA MASTAA WASAGAJI

Na Mayasa Mariwata MSANII wa filamu za Kibongo, Salma Salmini ‘Sandra’ amesema  kinachowaponza mastaa wengi kutopenda kuingia kwenye ndoa ni kupenda vitendo vya usagaji na ushoga. Msanii wa filamu za Kibongo, Salma Salmini ‘Sandra’ Akipiga stori na paparazi wetu, Sandra  alisema vitendo hivyo vimekuwa vikishamiri siku hadi siku kwa mastaa hususan wa filamu kwa tabia ya kupenda kuiga nchi za...

 

10 years ago

GPL

SANDRA: NACHUKIA UKE WENZA

Stori: Rhoda Josiah
MKONGWE kwenye sanaa Bongo, Salama Salmin ‘Sadra’ amesema kuwa hakuna kitu anakichukia maishani kama uke wenza. Mkongwe kwenye sanaa ya maigizo Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’. Akipiga stori na mwandishi wa gazeti hili, Sadra ambaye tayari ni mke wa mtu, alisema anajiamini kwa kila jambo ambalo analifanya katika maisha yake na hayupo tayari kukubali kabisa suala la uke wenza kwani...

 

11 years ago

GPL

SANDRA AKUMBUSHIA MATESO YA KAOLE

Stori: Mayasa Mariwata
MUUZA sura wa sinema za Kibongo, Salma Salmini ‘Sandra’ ametoa dukuduku lake baada ya kuelezea mateso aliyopata kipindi alipokuwa anaanza kujihusisha na masuala ya sanaa katika Kundi la Kaole. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Salma Salmini ‘Sandra’ Sandra aliliambia Ijumaa kuwa, mateso anayoyazungumzia ni yale ya kunyanyaswa na wasanii wenzake huku wakimfanyia vitimbi vya kila...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani