Serikali yazindua maabara kukabili matukio ya sumu
WAKALA wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), umezindua jengo la maabara ya kusimamia na kuratibu matukio ya sumu nchini, chini ya Idara ya Sayansi ya Makosa ya jinai, kwa lengo la kukabiliana na matukio ya sumu nchini.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziTFDA YAZINDUA MAABARA YA KISASA YA UCHUGUZI WA MADAWA
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ocJIMP04wdA/VlgZn8MroOI/AAAAAAAIIkw/8y85hUx2Tco/s72-c/PIX3a.jpg)
Makumbusho ya Taifa yazindua maonyesho ya picha za matukio yanayohusu Albino nchini
![](http://1.bp.blogspot.com/-ocJIMP04wdA/VlgZn8MroOI/AAAAAAAIIkw/8y85hUx2Tco/s640/PIX3a.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-p6KVkm4AT8I/VlgZnt0UuTI/AAAAAAAIIko/5Vubu7QxsWo/s640/PIX3b.jpg)
11 years ago
Habarileo25 Feb
Serikali kukabili tatizo la tabianchi
SERIKALI imesema bado inategemea fedha zaidi kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo ili kufanya mambo mengi zaidi katika kukabiliana na tatizo la tabianchi, ambalo kwa sasa limezikumba nchi nyingi duniani.
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Serikali yajipanga kukabili mafuriko
SERIKALI imesema imejipanga kuhakikisha inakabiliana na matatizo ya mafuliko yanayojitokeza kipindi cha mvua katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam. Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Waziri wa Ujenzi,...
11 years ago
Tanzania Daima09 Aug
Serikali yajipanga kukabili Ebola
SERIKALI imesema itahakikisha hakuna mwananchi atakayefariki kutokana na kukosa huduma katika vituo vya afya pindi atakapobanika kuwa na ugonjwa wa Ebola labda achelewe kufika katika vituo hivyo. Kauli hiyo ilitolewa na Naibu...
11 years ago
Habarileo09 Aug
Serikali yaongeza nguvu kukabili ebola
SERIKALI imeongeza nguvu ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa ebola iwapo utatokea, kwa kuwapima wasafiri na wageni wanaoingia nchini kupitia viwanja vikubwa vitano vya ndege. Vipimo hivyo vitafanywa ili kubaini iwapo wana vimelea vya ugonjwa huo, kwa kutumia mashine za thermoscan zinazotarajiwa kuingia nchini wiki mbili zijazo.
10 years ago
StarTV17 Oct
Serikali yajipanga kukabili ugonjwa wa Marburg.
Na Projestus Binamungu, Mwanza.
Serikali imesema hakuna mgonjwa yeyote aliyeripotiwa kuwa na kirusi cha homa ya Marburg mpaka hivi sasa na imewataka watanzania kuchukua tahadhali.
Ugonjwa ambao umeibuka tena nchini Uganda tayari imesababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa wakiwa mahututi.
Oktoba, 20 mwaka 2012 Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, ilipokea taarifa kutoka Shirika la Afya Duniani WHO juu ya uwepo wa mripuko wa ugonjwa wa homa ya Marburg katika nchi jirani ya...
9 years ago
Mwananchi26 Aug
Serikali ijipange kukabili mvua za El Nino
9 years ago
Habarileo19 Sep
Serikali imejipanga kukabili njaa-Bendera
MKUU wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Hanang’ kuwa hakuna mwananchi atakayekufa kwa njaa kwa kuwa serikali imejipanga kukabiliana na hali hiyo.