Simba yapewa ushauri
>Mweka hazina msaidizi wa zamani wa Simba, Humprey Laban ameuonya uongozi wa klabu hiyo kwamba usithubutu kusajili wachezaji waliowahi kukipiga timu hiyo na baadaye kuhamia Yanga, akidai kuwa kufanya hivyo ni kukaribisha hujuma.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima05 Feb
TFF ya Malinzi yapewa ushauri
WAKATI uongozi mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya Rais Jamal Malinzi ukitimiza siku 100 hapo Februari 7 tangu ulipoingia madarakani Oktoba 27, mwaka jana, Mbwana Msumari, ambaye...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-9hNL8D8wZyk/XtDWe66YWEI/AAAAAAALr-A/mHZmihtNvDonNjH8xlJ-l4Rp2b5cYSuUACLcBGAsYHQ/s72-c/yanga-sc-vs-simba-sc-of-tanzania_x4n7nlmxk7ae1pc63schtfr7d.jpg)
SIMBA YAPEWA AZAM, YANGA DHIDI YA KAGERA KOMNE LA ASFC
![](https://1.bp.blogspot.com/-9hNL8D8wZyk/XtDWe66YWEI/AAAAAAALr-A/mHZmihtNvDonNjH8xlJ-l4Rp2b5cYSuUACLcBGAsYHQ/s640/yanga-sc-vs-simba-sc-of-tanzania_x4n7nlmxk7ae1pc63schtfr7d.jpg)
Upangaji huo umerushwa moja kwa moja na kituo cha Azam na kusimamiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF).
Katika mchezo wa kwanza, Simba Watakutana na Azam ikiaminiwa ni kuwa mchezo wenye ushindani mkubwa sana kutokana na historia ya mchezo wa ligi uliopita.
Mchezo wa pili utakuwa ni Yanga wakiwakaribisha Kagera...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
Chaneta yapewa changamoto
CHAMA cha Netiboli Tanzania (Chaneta), kimetakiwa kuwa na utaratibu wa kuwapandisha madaraja makocha na waamuzi wa mchezo huo ili waweze kupata nafasi ya kutumika kimataifa. Rai hiyo ilitolewa juzi na...
11 years ago
Habarileo27 Jun
TBC yapewa OB-Van
SHIRIKA la Utangazaji Tanzania (TBC) limepokea gari la kisasa la matangazo (OBVan) lenye thamani ya Sh bilioni sita kutoka kwa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China.
10 years ago
Habarileo22 Oct
Serikali yabanwa, yapewa siku 30
SIKU moja baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuibana Serikali, ilipe deni la muda mrefu la Sh trilioni 8.4 kwa mashirika ya hifadhi ya jamii. Pia kamati hiyo imetoa mwezi mmoja kwa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kuhakikisha imekabidhi ripoti yake ya ukaguzi wa msamaha wa kodi inayotolewa na Serikali.
10 years ago
Dewji Blog26 Mar
Jembe FM ya Mwanza yapewa leseni
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akizungumza kwenye hafla fupi ya kukabidhi leseni kwa redio ya Jembe FM ya jijini Mwanza kwenye ofisi za makao makuu ya TCRA jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).
Na Mwandishi wetu
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma ametaka matumizi sahihi ya masafa ya radio yanayatumiwa kurusha vipindi vya radio kwa ajili ya maendeleo ya umma.
Kauli hiyo...
10 years ago
Habarileo05 Nov
Kamati ya Zitto yapewa rungu
BUNGE limesema hakuna mgongano wowote baina ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (PAC) na ile ya Nishati na Madini katika kushughulikia mikataba ya wawekezaji katika sekta ya gesi na mafuta.
10 years ago
Habarileo18 Oct
Tanesco yapewa kibarua kigumu
MOJA ya sekta zenye mchango katika maendeleo ya mwananchi mmoja mmoja zilizofanyiwa mabadiliko makubwa na ya kasi, ni upatikanaji wa umeme, ambapo Serikali imeagiza Shirika la Umeme (Tanesco), kuunganisha umeme kwa wateja siku ambayo wamelipa gharama za kuunganishiwa huduma hiyo.
11 years ago
Habarileo06 Mar
Kamati ya Maridhiano yapewa rungu
BUNGE Maalumu la Katiba limeelezwa kuwa kamati ya mashauriano, ndio itakayokuwa na mamlaka ya kushughulikia malalamiko mbalimbali ya makundi ya wabunge, iwapo itatokea miongoni mwa makundi yaliyoko bungeni, yatasusia kikao cha Bunge.