Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA MSIBA WA CLEMENT CHAGULA

Familia ya Chagula inasikitika kutangza kifo cha baba yao mpendwa Clement Chagula kilichotokea siku ya Ijumaa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, Dar es salaam.
Misa ya kumuaga marehemu itafanyika katika kanisa la st Albans jijini Dar es salaam siku ya Jumatatu tarehe 21 Julai 2014 saa saba mchana. Baada ya hapo mazishi yatafanyika katika makaburi ya kinondoni.
Bwana alitoa Bwana ametwaa
Jina lake na lihimidiweAmen

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

HITIMISHO LA MSIBA WA BI. MAGDALDENA CHAGULA

Familia ya marehemu Dr. Albert na Mwl Magdalena Chagula, tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa mapadre na paroko wa kanisa la Mt. Francis Xavery, Chang'ombe, wajane wote, ndugu, jamaa, marafiki na majirani wote walioshiriki nasi wakati wa msiba wa mpendwa mama yetu Mwl. Magdalena Chagula aliyefariki tarehe 24/6/2015.
Katika kumalizia msiba huu, tutakuwa na Misa jumamosi hii tarehe 8/8/2015 kanisani chang'ombe saa 2 kamili asubuhi na baada ya hapo tutaelekea Makaburini Kinondoni kwa ajili...

 

11 years ago

Michuzi

Taarifa ya Msiba

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) anasikitika kutangaza kifo cha Mfanyakazi wa Wakala Mhandisi Charles M. Madinda kilichotokea ghafla leo jumamosi tarehe 8/3/2014 katika hospitali ya Amana – Ilala Dar es Salaam. Habari ziwafikie Wafanyakazi wote wa TANROADS, Wizara ya Ujenzi na Taasisi zake zote pamoja na ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo.
Marehemu anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwake Morogoro siku ya Jumanne tarehe 11/3/2014. Marehemu ataagwa kesho Jumapili...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA MSIBA DMV

JEFF DEO NKANDA (JAFFARI), Mtanzania mwenzetu DMV anasikitika kutangaza kifo cha mpendwa mama yake mzazi kilichotokea leo Tanzania. Jaffari anategemea kusafiri Jumatano Novemba 5, 2014 kuelekea Tanzania kumpimzisha mama yake katika nyumba yake ya milele . 
Kama ilivyo mila na desturi yetu kupeana pole ndio utamaduni wetu hasa katika kipindi hiki kigumu cha Jaffari kumpoteza mpendwa mama yake. 
Kwa yeyote anayetaka kutoa mkono wa pole anapatikana katika address hii  5701 UNION BRIDGET CT, BOWIE...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA MINNESOTA

Ndugu, Jamaa na Marafiki,
Familia ya ndugu Joel & Janeth Mburu inasikitika kuwataarifu juu ya  msiba wa ghafla wa mama mzazi wa Janeth na Godson  Gabagambi uliotokea leo hii asubuhi-Karagwe, nchini Tanzania.Mipango ya mazishi inaendelea kufanyika huko Karagwe, Tanzania  .
Kwa marekani, Msiba upo nyumbani kwa Ndugu Joel & Janeth Mburu, Minnesota  na watu wanakutanika nyumbani hapo kuanzia leo  kwa anwani ifuatayo:-5250 Villa WayEdina MN 55436.
Kwa Uingereza ,msiba upo kwa Peter Gabagambi ;61...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA MINNESOTA NA TANZANIA

Ndugu,Jamaa na Marafiki ,
Tunasikitika kuwataarifu ya kuwa Ndugu yetu na mwanajumuiya mwenzetu Elibariki Mshomi amefiwa na mdogo wake,Robert Mshomi huko Moshi Tanzania.Mazishi yamepangwa kufanyika Jumatatu June 23 2014 nyumbani kwao Moshi.   Kama ilivyo kawaida ya desturi yetu,tunaombwa kujitokeza kumfariji ndugu yetu katika kipindi hiki kigumu.
Tutakuwa na Memorial Service,maombi  na nafasi ya watu kuleta rambi rambi siku ya jumapili June 22nd 2014 saa kumi na nusu jioni (4.30pm)...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA JIJINI MWANZA

Mwalimu Kulthum R. Mussa (Mwambambale) wa Nyakato National Mwanza anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mumewe Dr. Hassan Marekero Mdee kilichotokea katika Hospitali ya Bugando Mwanza tarehe 22.11.2015. Msiba upo nyumbani kwake Nyakato National Mahina karibu na kanisa la Roma. Heshima za mwisho zitatolewa siku ya Jumanne kuanzia saa 7 mchana nyumbani kwa Marehemu Mahina. Marehemu atasafirishwa siku ya Jumatano alifajiri kuelekea Moshi Uchira kwa mazishi ambayo yatafanyika siku ya...

 

11 years ago

Michuzi

Taarifa ya Msiba Tanzania na DMV


Sarah Mushi wa Ashburn, VA anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Mrs. Aruken Geoffrey Mushi (pichani) kilichotokea Jumatano May 29, 2014. Msiba upo nyumbani kwa mfiwa: 20937 Killawog Terr, Ashburn, VA 20147. 
Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na: David Kisanga (703)932-0540.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe 

 

10 years ago

Vijimambo

Taarifa ya msiba Columbus, OHIO


 Tunasikitika kuwapa taarifa ya msiba. Mwenyekiti wa jumuiya ya watanzania Columbus Deo Mwajulujwa Amefiwa na dada yake Angela Mchoropa. Dada Angela aliugua miezi michache iliyopita , Alipopata nafuu akaenda nyumbani Tanzania ambako Mauti yalimfikia. Kama mila Na desturi zeta kushirikiana na kumfariji mwenzetuKatia kipindi hiki kigumu. Anuani ya Deo ni hii ifuatayo:
1440 Sharon Green Columbus Ohio 43229 (614)378-8655
MWENYEZI MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI"
Uongozi

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA WA BAHATI MWAKABUNGU

MAREHMU BAHATI MWAKABUNGU ENZI ZA UHAI WAKE
WANAFUNZI AMBAO TUMEPITA CHUO CHA BIASHARA KITUO CHA DAR ES SALAAM (CBE) TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA ALIYEKUWA MWANAFUNZI MWENZETU BAHATI MWAKABUNGU AMBAYE AMEFARIKI JUZI HAPA DAR ES SALAAM.
MSIBA UPO KWA KAKA YAKE NOEL MWAKABUNGU MAENEO YA BUZA JIJINI DAR ES SALAAM, TAARIFA KUTOKA KWA WANA FAMILIA WANASEMA MAZISHI YATAFANYIKA LEO TAREHE 3/09/2014 KATIKA MAKABURI YA KINONDONI MUDA WA ALASIRI.
KWA TAARIFA ZAIDI UNAWEZA KUWASILIANA NA NAMBA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani