TAARIFA ZA OKWI, YONDANI, CHUJI HAZINA UKWELI
Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. Uongozi wa klabu ya Young Africans unasikitishwa na taarifa zinazotolewa na baadhi ya Vyombo Vya Habari tangu siku ya jumatano kwamba wachezaji Juma Kaseja, Kelvin Yondani, Athuman Idd "Chuji" wamefukuzwa kwenye timu na Emmanuel Okwi ameondoka kurejea kwao nchini Uganda ni za uongo mtupu. Athuman Idd…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-kLHUD_9IwnQ/VbClMoPMGlI/AAAAAAAHrQw/KjdyDSyZfOE/s72-c/fbs.jpg)
TAARIFA KWA UMMA KUHUSIANA NA TAARIFA ZISIZO NA UKWELI DHIDI YA WASHIRIKI WA TMT 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-kLHUD_9IwnQ/VbClMoPMGlI/AAAAAAAHrQw/KjdyDSyZfOE/s1600/fbs.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rpTO7xq7SsEMP54ZXnP8xIMUjh9VPQb2ZS*y2f9EgGWUcaF3EpzNCf1xBEq5mEeoQUIEuvvCwG0JypPpNZ47Rmle5r3bCb0Z/itcOKWI.jpg)
HUU NDO UKWELI KUHUSU USAJILI WA OKWI
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
Kufuatia taarifa za uvumi wa kifo cha Waziri wa Elimu Shukuru Kawambwa, ukweli uko hapa!
Taarifa hii imetoka kwenye akaunti ya facebook ya Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete na inasomeka kama ifuatavyo….Ndg Watanzania,WanaBagamoyo na wapenda maendeleo, kwa niaba ya CCM-Bagamoyo na Ofisi ya Mbunge-Jimbo la Bagamoyo napenda kuleta kwenu Masikitiko yetu kwa niaba ya Chama na Familia ya Mheshimiwa Mbunge Shukuru Jumanne Kawambwa kutokana na Usumbufu ambao umesababishwa na habari zinazoenezwa Mitandaoni kwamba Mheshimiwa Kawambwa amekumbwa na Umauti akiwa njiani anaelekea...
10 years ago
Vijimambo15 Jul
Taarifa Potofu za Lowassa Kwenda CHADEMA: Uongo ukiachwa ukasemwa sana bila kusahihishwa unaweza kugeuka kuwa ukweli.
![](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/05/lowassa2.jpg)
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Chuji asamehewa Yanga
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Chuji aiangukia Yanga
SIKU chache baada ya kiungo nyota wa Klabu ya Yanga, Athuman Idd ‘Chuji’ kusimamishwa kwa utovu wa nidhamu kwa muda usiojulikana, ameandika barua kwa uongozi wake kuomba radhi. Mwishoni mwa...
11 years ago
Mwananchi05 Jul
Chuji atua Azam
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DGhaQe0o0DSiZyCoYOXmcRx5KaDN9SfoRwaFYDOee-iOieM7F4R7M0KwCequN8cj9JM-RILghprsgEi5jDsl21FqB9kBh9xC/KIUNGOCHIJI.jpg?width=650)
Chuji asimamishwa Yanga
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04au0uffWjv*Pi74h*9x*7VA7f8nQmoifxq-tZx2QAHbXzSBm43pg7QboXrY1dWtHi4IeVo61iPY7Ol8sMM-upOcE/yondani.jpg?width=650)
Yondani aibukia Arusha