Tahadhari kwa wasiopenda mazoezi
Je ulijua kama watu wengi barani Ulaya wanakufa kwa kukosa kufanya mazoezi ikilinganishwa na idadi ya watu wanaokufa kutokana na ugonjwa wa kisukari?
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Wasiopenda kujifunza kwa njia rahisi, watajifunza kwa njia ngumu
NIMEMSIKIA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akisema kuwa katiba mpya haileti maendeleo hata ikija. Msingi wa hoja yake ni kuwa katiba mpya siyo mtatuzi wa matatizo...
11 years ago
Habarileo07 Mar
'Wasiopenda Muungano hawana sababu'
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Evod Mmanda amesema licha ya changamoto nyingi zinazoukabili muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuna haja ya kukaa pamoja na kutatua changamoto hizo ili kwenda pamoja. Mmanda ambaye ni mjumbe wa Sekretarieti ya kutengeneza kanuni za Bunge Maalumu, alisema hayo wakati wa mahojiano Mjini Dodoma. Alisema miaka 50 ya Muungano ni faraja na jambo la kujivunia.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FBfnXTo9RIFHQyZylkYcMCuHH31FUUwItOYKKSZGwvyJ9zYG*-FdUgjpJlxW4qW9TLB*hEbdtAPAwFm4iSoOxGnEk-8bfhpZ/SHILOLE.jpg?width=650)
SHILOLE AWASHANGAA WASIOPENDA ‘MAKUFULI’
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Mazoezi kwa wanawake waliojifungua kwa upasuaji
11 years ago
BBCSwahili20 Mar
Vikwazo kwa mazoezi Bujumbura
10 years ago
Dewji Blog16 Apr
Tahadhari kwa madereva kona za Iyovi ni kali sana, endesha kwa umakini kuepusha ajali
Wewe ni dereva wa basi la abiria ama gari binafsi ?hebu chukua hatua ya kupunguza ajali leo kwa kujihadhari na kona hizi na Iyovi na Kitonga na kona nyingine kali kama hizi nchini kwani maisha yako ni dhamani kubwa na uhai wake bado tunautamani.
Vema kuheshimu alama za barabarani na kuacha mbwembwe uwapo barabarani katika kona kali kama hizi.
Katika kona kama hizi zingatia alama za usalama barabarani usiwe na haraka ya kulipita gari la mbele.
Kulipita gari la ...
5 years ago
Mwananchi27 Feb
UMUHIMU WA MAZOEZI YA YOGA KWA AFYA- 2
10 years ago
Mwananchi19 Jun
Mazoezi kwa ajili ya afya ya mifupa
10 years ago
Dewji Blog10 Feb
Tahadhari kwa wanawake kwa mtu huyu!
Pichani Malaria akiwa amejipumzisha kwenye kibaraza cha maeneo ya ofisi za Idara ya Habari Maelezo kama alivyokutwa na mpiga picha wetu.
Na Andrew Chale, modewjiblog
Hali ya sintofahamu juu ya mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la ‘Malaria’, imezidi kuwa kero kwa baadhi ya watu ikiwemo wanawake kwa mtu huyo kuwafanyia vitendo vya kidhalilishaji kwa kuwashika sehemu nyeti, na baada ya hapo kukimbia ama humtisha kwa lengo la kutaka kumpiga aliyemfanyia kitendo hicho.
Kwa siku kadhaa,...