Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Televisheni, intaneti mbadala wa vitabu unaoharibu vijana

MWAKA jana maadhimisho ya Siku ya Kusoma Vitabu yalifanyika Novemba 11 na kuwakumbusha watu wawe na tabia ya kujisomea vitabu. Kwa ujumla Waafrika wengi hawana utamaduni wa kujisomea vitabu. Hii...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

SUA YAPOKEA VITABU VYA KUAMSHA FIKRA ZA VIJANA


   Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) cha Morogoro, Prof. Raphael Chibunda (wa pili kushoto), akipokea na kuonesha nakala ya Kitabu cha MAKING AFRICA WORLD'S LARGEST ECONOMY, kutoka kwa aliyepata kuwa Katibu Tawala (RAS) wa Mkoa wa Morogoro ambaye pia alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji cha Tanzania (TIC), Dkt. Clifford Katondo TANDARI (katikati). Kulia ni Mkurugenzi wa Maktaba ya Taifa ya Kilimo ya Sokoine (SNAL), Prof. Mugyabuso Lwehabura na wa pili kulia ni...

 

5 years ago

Michuzi

SUA YAKABIDHIWA VITABU VYA KUAMSHA FIKRA ZA VIJANA


Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Skooine cha Kilimo SUA Prof. Raphael Chibunda akiwa ameshikilia moja ya vitabu hivyo baada ya kukabidhiwa, Kulia kwake ni Naibu makamu mkuu wa Chuo upande wa Taaluma Prof. Peter Gillar, kuanzia kshoto ni Mkurugenzi wa Maktaba ya taifa ya Kilimo Prof. Mugyabuso Lwehabura, Bwana Derek Murusuri ambaye ndiye mwandishi wa kitabu na Dkt. Cliford Tandali aliyetoa msaada huo wa vitabuMakamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA Prof....

 

5 years ago

Michuzi

Tulonge Afya yazindua kipindi cha Uelimishaji Vijana Kwa njia ya Televisheni (Luninga)

· Kiitwacho Washa Kideo na SITETEREKI, kinalenga kufikia zaidi ya vijana milioni 20 nchini
· Lengo ni kusaidia vipaumbele vya kimkakati kwa vijana wa Serikali ya Tanzania
Ili kukabiliana na changamoto za COVID-19 ambazo zimeathiri shughuli mbali mbali Nchini Tanzania, Programu ya USAID Tulonge Afya imezindua kipindi maalum cha TV cha moja kwa moja (yaani live) "Washa Kideo na Sitetereki" kipindi ambacho pia kitakuwa kikirusha moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii. 
Malengo ya...

 

10 years ago

Michuzi

MTUNZI MKONGWE WA VITABU ZANZIBAR AZINDUA VITABU VITATU VYA HADITHI ZA KALE

Mtunzi mkongwe wa vitabu Zanzibar Bi. Fatma Moh’d Salim (Jinja) akionyesha vitabu vya hadithi za kale alivyovitunga, katika sherehe za uzinduzi wa vitabu hivyo zilizofanyika nyumbani kwake Chukwani Zanzibar. Mwandishi wa Habari wa Redio Annur Fm Kasim Khamis akimuuliza suali Bi. Fatma Jinja kuhusiana na utunzi wa vitabu vyake alivyo vizindua. Baadhi ya waalikwa waliohudhuria sherehe za uzinduzi wa vitabu hivyo wakimskiliza Bi. Fatma Jinja (hayupo pichani) alipokuwa akitoa maelezo juu ya...

 

11 years ago

GPL

WATANZANIA WAHIMIZWA MATUMIZI YA INTANETI

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa (kushoto) akionesha moja ya simu aina ya Vodafone 875 yenye mfumo Adroid inayopatika sasa kwa bei ya shilingi 100, 000/- katika maduka yote ya kampuni hiyo. Simu hiyo ni ya kisasa iliyounganishwa na 3G mteja anaweza kuperuzi mitandao ya Facebook, WhatsApp, Twitter, Viber, na Instagram. Pamoja naye ni Mkuu wa Idara ya bidhaa kwa wateja wa Vodacom Tanzania...

 

5 years ago

Michuzi

Huduma ya Intaneti Vodacom yarejea


Huduma ya intaneti ya Vodacom imerejea majira ya saa 2:30 usiku tarehe 23 Februari 2020. Tunasikitika kwa usumbufu wote uliyojitokeza. Tumedhamiria Kutoa huduma bora kwa wateja wote na kuzingatia viwango vya kimataifa. Wateja wote waliopatwa na madhara haya watapata fidia na walio nunua bando watarejeshewa kuanzia kesho.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TTCL kuimarisha huduma za intaneti

KAMPUNI ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) imewashawishi Watanzania kuendelea kutumia huduma zake mwaka 2014, huku ikiahidi kuimarisha huduma katika sauti, data na intaneti. Ahadi hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana...

 

10 years ago

Habarileo

Intaneti kuongeza pato la taifa

MATUMIZI makubwa ya mtandao wa kompyuta (intaneti) yatasaidia ongezeko la pato la taifa (GDP). Hayo yameelezwa katika jukwaa la wadau wa mtandao wa intaneti (IGF) lililofanyika mwishoni mwa wiki.

 

10 years ago

Mwananchi

Intaneti zafungwa Congo Brazzaville

Serikali ya Congo Brazzaville imesitisha huduma za mtandao na kufunga mawimbi ya redio ya Kimataifa ya Ufaransa (RFI) nchini humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani