Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tembo amuua mlinzi wake Marekani

Vetenari James Laurita, aliyekuwa na umri wa miaka 56 alikanyagwa na Tembo kifuani kwa bahati mbaya na kufariki

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

RPC anusurika kifo, mlinzi wake afa

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Fulgence Ngonyani na dereva wake, Nuaka Seme wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Njombe ya Kibena baada ya kupata ajali ya gari iliyomuua mlinzi wa kamanda huyo, usiku wa kuamkia jana, eneo la kiwanda cha miwati (TANWAT).

 

10 years ago

GPL

MLINZI WA SLAA AKANUSHA KUTAKA KUMUUA BOSI WAKE

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk. Willbroad Slaa. KHALID Hamada Kangezi aliyekuwa mlinzi wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk. Willbroad Slaa, amekanusha taarifa iliyotolewa na viongozi wa chama hicho kwamba alitaka kumdhuru kiongozi huyo na akasisitiza yeye ndiye aliyenusurika kifo baada ya kufungiwa chumbani kwa zaidi ya saa sita na viongozi wa chama hicho wakiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Amuua mchumba wake, afukia mwili porini

MKAZI wa Kijiji cha Kiroreli, wilayani Bunda, Wambura Magonze, ameuawa na mchumba wake na kisha mwili wake kufukiwa porini. Tukio hilo lilitokea Machi 22 mwaka huu, saa 3 asubuhi katika...

 

11 years ago

Michuzi

RPC NJOMBE APATA AJALI NA MLINZI WAKE AFARIKI DUNIA

Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe ASP Fulgence Ngonyani. Na James Festo, Njombe.

KAMANDA wa polisi Mkoa wa Njombe SACP Fulgence Ngonyani  pamoja na dereva wake Nuaka Seme  wamelazwa katika hispitari ya Mkoa wa Njombe ya kibena ambako wanaendelea  kupatiwa matibabu kufuatia ajali iliyotokea usiku wa kuamkia  jana katika eneo la kiwanda cha Miwati (TANWAT) ambapo katika ajali hiyo askari mwenye cheo cha "constable" alifariki dunia papo hapo.

Akiongea na vyombo vya habari  huku akipatiwa...

 

10 years ago

Habarileo

Amuua mdai wake kwa kukerwa kudaiwa Sh 80,000

Kamanda wa Polisi mkoani Mara , Philpo KalangiMWANAMKE Caseline Mzee (75) mkazi wa kijiji cha Guta wilayani Bunda, mkoani Mara, ameuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kunyongwa na kisha mwili wake kutupwa ndani ya mto, ukiwa umefungiwa mawe mazito ili usielee.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto wa miaka mitatu amuua mdogo wake kwa risasi

Payson Ariz, mtoto wa kiume wa miaka mitatu amemuua mdogo wake wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu kwa kumpiga risasi.

 

9 years ago

Michuzi

AMUUA MKE WAKE KISHA YEYE KUJINYONGA MBOZI MBEYA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi.

Na Mwandishi wetu,Mbeya,Jamiimojablog

Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanaume mmoja Mkazi wa kijiji cha Malolo Ndugu Chipunguli Mkisi (30) amemuua mke wake kwa kumkata panga kichwani kisha yeye mwenyewe kujiua kwa kujinyonga.

Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ndugu Ahmed Msangi amesema tukio hilo la aina yake limetokea Desemba 15 mwaka huu majira ya saa 7 mchana huko katika kijiji cha Malolo, Kata ya Msia, wilaya ya...

 

10 years ago

Vijimambo

AMUUA MDENI WAKE NA KUMZIKA MWENYEWE KISHA KUHAMA NYUMBA

Hii stori inasikitisha sana wadau wa Vijimambo jinsi gani binadamu walivyokuwa wakatili umekopa anapokudai anaamua kuondoa uhai wake sina maelezo zaidi ya hiyo audio hapo chini bofya play usikilize mwenyewe ukatili huu wa binadamu si mnyama

 

10 years ago

GPL

DK SLAA APELEKA MALALAMIKO YA KUTAKA KUUAWA NA MLINZI WAKE MAKAO MAKUU YA POLISI DAR

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa (pichani kushoto) muda huu ametoka katika ofisi za Makao Makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam alipokwenda kupeleka malalamiko yake ya kutaka kuuawa na mlinzi wake aitwaye Khalid Kangezi. Dk. Slaa amekabidhi malalamiko yake hayo kwa maandishi ambapo zaidi ya kurasa tisa amezikabidhi kituoni hapo. Akiongea na wanahabari, Dk. Slaa amesema kuwa hajaitwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani