Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUSIRUHUSU AMANI IVURUGWE NCHINI

TUPO kwenye kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 25, mwaka huu, tumuombe Mungu siku hiyo ikifika tupige kura kwa amani na kupata viongozi wetu kwa njia ya haki. Nianze kwa kusema kila mtu mzalendo wa nchi hii anaombea uchaguzi huo uwe wa haki na amani itawale kwa sababu baada ya kupiga kura, kuna maisha yatakayoendelea kwa kila Mtanzania na hata kwa raia wa nje aliyeko nchini. Kabla ya kampeni kulikuwa na makongamano ambapo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Dkt. Kigwangala aongoza Mbio za Amani 2014, ahimiza amani nchini

Wanasiasa wameaswa kudumisha amani, upendo na mshikamano wa Tanzania, ili kuepuka vurugu zinazoweza kujitokeza ambazo kwa kiasi kikubwa zimekuwa zikisababishwa na makundi ya wanasiasa, kwa kutoa ujumbe kwa wananchi unao chochea kuvurugukika kwa amani ya Tanzania. 
Akizungumza na wanamichezo wa vilabu mbalimbali vya kukimbia (Jogging) kutoka Tanzania bara na Zanzibar, katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,  Mbunge wa jimbo la Nzega, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Tulipofikia tusiruhusu tena siasa iendeshe uchumi

 “chama kushika hatamu za uongozi”; “chama kimoja”; “zidumu fikra za mwenyekiti”, kwa moyo wa dhati kabisa, lazima niseme kwamba, kwa mtindo huo, Watanzania tutajikaanga kwa mafuta yetu wenyewe.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mkutano wa amani nchini Mali

Serikali ya Algeria, mnamo Jumatano iliandaa mkutano wa amani ulionuia kumaliza vita Kaskazini mwa Mali.

 

10 years ago

Vijimambo

DK. KIGWANGALA AHIMIZA AMANI NCHINI

Mbunge wa jimbo la Nzega Dr. Khamis Kigwangala akizungumza na vikundi mbalimbali mbalimbali vya Joging vilivyoshiriki katika tamasha la Mbio za Amani lililoshirikisha wawakilishi kutoka pande mbalimbali za nchi na kupokelewa na mbunge huyo ambye alikuwa mgeni rasmi, Dr. Khamis Kigwangala amewaasa wanasiasa kutoleta siasa za uchochezi hasa katika mchakato mzima wa Katiba mpya ambapo amesema waachwe wananchi wenyewe waisome waielewe na wao wataamua kama wataipigia kura ya Ndiyo au Hapana,...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tufanye yote, wimbo wetu uwe amani, amani, amani

Wiki hii Raia Mwema lilifanya mahojiano na mwanasheria mkuu wa serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

GPL

TUNATAKA KAMPENI ZA AMANI NCHINI KOTE

Tuanze makala haya kwa kumsifu Mungu, muumba wa vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana katika dunia hii. Hakika tumhimidi daima huku tukimuomba atuzidishie maarifa ya kutambua umoja wetu na amani katika taifa letu. Hivi sasa vyama vya siasa vipo katika kampeni zao kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25. Hili ni zoezi muhimu katika nchi zote zinazoheshimu misingi ya utawala bora na...

 

11 years ago

Habarileo

IGP: Amani, utulivu nchini ni lazima

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana kuhusu mkakati wa Jeshi lake katika kupambana na vitendo vya uhalifu. Mwingine ni Naibu wake, Abdulrahman Kaniki. (Picha na Fadhili Akida).MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, amesema ni lazima nchi ikae kwa amani na utulivu, hivyo wananchi wanapaswa kutii sheria bila shuruti kwa kutumia njia halali za kudai haki na kufuata utaratibu unaokubalika.

 

11 years ago

Mwananchi

Viongozi wa dini nchini wahubiri amani

>Viongozi wa dini katika makanisa mbalimbali nchini, wametumia Sikukuu ya Krismasi kuhubiri amani, kulaani ubinafsi huku wakiitaka Serikali kuhakikisha inawang’oa viongozi mizigo ambao ndio chanzo cha umaskini nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani