Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ufisadi wagubika zabuni uagizaji mafuta

Charles_MwijageNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

HOFU imetanda kwa watumiaji magari na mitambo nchini kutokana na taarifa kwamba bei ya dizeli na petroli inaweza kupanda kutokana na kuzuka utata katika zabuni  Namba PIC/2015/G-P/37 iliyopewa Kampuni ya Nishati ya Augusta bila kufuata utaratibu wa zabuni rasmi.

Zabuni hiyo ambayo ni ya kuagiza mafuta nje ya nchi ndiyo inatajwa kuwa ghali zaidi tangu Kampuni ya Uratibu wa Uagizaji wa Mafuta (PICL) ianzishwe miaka kadha iliyopita.

Kwa mujibu wa habari...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Enoc Afrika yashinda zabuni uagizaji mafuta

KAMPUNI ya mafuta ya ENOC Afrika, imeshinda zabuni ya uagizaji mafuta chini ya mfumo wa uagizaji wa pamoja ‘Petroleum Bulk Procurement System’ (BPS) kwa Oktoba mwaka huu. Zabuni hiyo ilivutia...

 

10 years ago

Mwananchi

Utata wagubika taarifa ya Kilango

Wakati uongozi wa Bunge la Katiba ukisema ripoti ya Kamati Namba 11 iliyozua utata juzi kutokana na makosa ya uchapaji, mwenyekiti wa kamati hiyo, Anne Kilango Malecela amesema kitabu chake kizima kilikataliwa na wajumbe.

 

11 years ago

Mwananchi

Utata wagubika wizi wa madini Mirerani

Wingu jeusi limetanda katika sakata la watu wasiofahamika kupora kilogramu 15 za madini aina ya Tanzanite yenye zaidi ya thamani ya kiasi cha Sh10 bilioni katika mgodi wa Tanzanite One Mining Limited (TML), uliopo Mirerani baada ya gari maalumu lililokuwa limetengwa kupakia madini hayo kuharibika siku moja kabla ya tukio.

 

10 years ago

Mwananchi

Utata wagubika fedha za walimu Kilimanjaro

Utata umeibuka kuhusu mahali zilipo Sh986 milioni ambazo walimu wa Mkoa wa Kilimanjaro walikatwa kama marejesho ya fedha walizokopa chama cha walimu cha Akiba na Mikopo (Saccos).

 

11 years ago

BBCSwahili

Utata wagubika bwawa mto Nile

Ujenzi wa bwawa kubwa na kiwanda cha Nishati katika mto Nile umeingia katika mzozo wa kidiplomasia.

 

10 years ago

Mwananchi

Utata wagubika mgawo wa Yanga, Simba

Mechi ya watani wa jadi, Yanga na Simba iliingiza Sh427 milioni na Sh49.5 milioni kati ya hizo zikiingia kwenye mfuko mpya wa Jichangie.

 

9 years ago

Habarileo

Shein aahidi kupunguza uagizaji chakula nje

MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Ali Mohamed Shein amesema atahakikisha Zanzibar inajitosheleza kwa chakula na kupunguza uagizaji wa chakula nje ya nchi, kwa kuimarisha kilimo cha umwagiliaji mpunga mashambani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Dodoma, Mtwara mfano bora uagizaji dawa

NAIBU Waziri wa Afya Dk. Steven Kebwe ameipongeza mikoa ya Dodoma na Mtwara kwa kuwa na wazabuni wa dawa ambao huifanya mikoa hiyo kutokuwa na ukosefu wa dawa pindi Bohari...

 

5 years ago

Michuzi

EWURA yapewa siku 10 kupitia bei za mafuta katika maghala ya kuhifadhi na kupokea mafuta.



Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani (wa pili kulia)akipita kukagua mazingira ya ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP, alipofanya ziara katika eneo hilo mkoani Tanga, Mei 10, 2020.

Shehena ya Mafuta ikiwa imepakiwa katika matangi tayari kwa kusafirishwa,hapa ni katika ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP mkoani Tanga, Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani, alifanya ziara katika eneo hilo, Mei 10,2020.

Baadhi ya mapipa makubwa ya kuhifadhia mafuta...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani