Urusi yakiri tatizo la dawa za kusisimua misuli
Riadha ya Urusi ina tatizo na utumizi wa dawa za kulevya,lakini marufuku ya kutoshiriki katika michezo ya Olimpiki itawaadhibu wanariadha wasiotumia dawa hizo kulingana na katibu mkuu wa shirikisho la riadha nchini humo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili20 Jun
Farah:Sijatumia dawa za kusisimua misuli
Mo Farah anasema kuwa hajawahi kutumia dawa za kusisimua misuli ,baada ya madai ya utumizi wa dawa hizo kumkabili kocha wake Alberto Salazar.
9 years ago
BBCSwahili02 Sep
Dawa za kusisimua misuli zaponza Watu 90
Zaidi ya Watu tisini wakamatwa wakijihusisha na boiashara ya Dawa za kusisismua misuli nchini Marekani
11 years ago
BBCSwahili21 May
Mwanaridha aliyekiri kusisimua misuli
Mwanariadha mkenya anayeshiriki mbio za kimataifa Matthew Kisorio afichua jinsi alivyotumia dawa za kuongeza nguvu
11 years ago
Mwananchi10 May
Vijana wakimbilia dawa za kutunisha misuli
>Pengine ni katika harakati za kuutafuta utanashati au ukosefu wa ajira, na huenda ikawa ni mtindo wa kimaisha kwa vijana wengi hapa nchini na duniani kote wanaotunisha misuli.
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Tunataka kuiona tena misuli ya watunisha misuli
Pengine kama kuna mchezo uliwahi kupendwa zaidi katikati ya miaka ya 1990 ulikuwa ule wa kutunisha misuli. Mchezo huu ulitajwa kila kona, ndiyo ulioongoza kuwa na wadhamini wengi kuliko fani nyingine yoyote ya burudani na michezo.
11 years ago
BBCSwahili22 Apr
Tatizo la Dawa bandia TZ
Wiki hii Haba na Haba inaangazia tatizo la uwepo wa dawa bandia hususan dawa za Malaria Tanzania
10 years ago
Mwananchi20 Jun
Utitiri wa maduka ya dawa tatizo nchini
Dar es Salaam. Chama cha Mafamasia nchini (PST) kimesema matatizo mengi yatokanayo na matumizi mabaya ya dawa yanasababishwa na uwepo wa maduka ya dawa yasiyo na wataalamu na yanayoendeshwa kiholela.
10 years ago
BBCSwahili17 Feb
Matumizi ya dawa katika riadha ni tatizo
Rais wa chama cha riadha duniani Lamine Diack amesema matumizi ya dawa za kusisimua misuli katika riadha ni tatizo
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Zolpidem dawa inayotibu tatizo la kukosa usingizi
Zolpidem ni dawa inayotumika kutibu matatizo ya kukosa usingizi. Dawa hiyo hutumika kwa maelekezo ya daktari. Zolpidem ni jina la jumla la dawa hii. Yapo majina amengi ya kibiashara ya dawa katika nchi tofauti ulimwenguni. Baadhi ya majina haya ni Ambien, Ambien CR, Edluar, Intermezzo na Zolpimist.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania