Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wa mashitaka wataka nahodha akamatwe

Viongozi wa mashitaka nchini Korea Kusini wameiomba mahakama kutoa kibali cha kukamatwa kwa nahodha wa feri ya iliyozama siku ya Jumatano ikiwa na zaidi ya watu 400.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

CCM wataka mwanachama atakaye kutwa na rushwa akamatwe hadharani

Na Amiri kilagalila,Njombe Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Njombe kimeielekeza taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU kuwakamata hadharani na kuwachukulia hatua wanachma wa Chama hicho wanaochafua taswira ya Chama kwa kutumia rushwa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu. Mbele ya vyombo vya habari katibu wa siasa na uenezi CCM mkoa wa Njombe ndugu Erasto Ngole amesema kwa mujibu wa maelekezo ya vikao vya chama hakuna mwanasiasa ndani ya chama hicho atakayesalimika katika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kuzama meli:Wataka nahodha anyongwe

Waendesha mashitaka wa Korea Kusini wameomba adhabu ya kifo dhidi ya nahodha wa kivuko cha Sewol.

 

10 years ago

GPL

Viongozi Azam wataka kuchapana hadharani

Viongozi wa Azam wakilumbana. Waandishi Wetu,Dar es Salaam
HALI ya sintofahamu imetokea ndani ya Klabu ya Azam ambapo viongozi kadhaa wa timu hiyo juzi walivurugana hadharani na kutaka kutwangana makonde baada ya mchezo wao dhidi ya Mbeya City, kwenye Uwanja wa Azam Complex nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Tafrani hiyo ilitokea baina ya Meneja wa Azam FC, Jemedali Said na Mkurugenzi wa Ufundi wa Azam FC, Saady Kawemba...

 

10 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini wataka wanasiasa kukubali matokeo

Shehe wa Mkoa Kigoma na Ulamaa wa Taifa, Hassan KiburwaWAKATI Waislamu mkoani Kigoma wakiungana na wenzao duniani kusherehekea Sikukuu ya Idd el Fitr, viongozi wa dini na mashehe wamewataka wanasiasa waliojitokeza kugombea nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu, kukubali matokeo ili kudumisha amani ya nchi yetu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Viongozi, wanaharakati wataka Katiba Mpya imtambue mtoto na haki zake

Mwenyekiti wa Mtandao wa Mashirika yanayofanya kazi na Watoto Tanzania ambaye pia ni Mratibu Miradi, Kituo cha Watoto wa Mtaani cha Dogodogo Kigogo (Dogodogo Centre Street Children Trust), Sabas Masawe.

Mwenyekiti wa Mtandao wa Mashirika yanayofanya kazi na Watoto Tanzania ambaye pia ni Mratibu Miradi, Kituo cha Watoto wa Mtaani cha Dogodogo Kigogo (Dogodogo Centre Street Children Trust), Sabas Masawe.

MCHAKATO wa kujadili na kuandika Katiba Mpya unaendelea bungeni mjini Dodoma, licha ya kuwepo kwa mvutano na mgawanyiko wa makundi ya wabunge wa bunge maalumu wanaojadili Rasimu ya Pili iliyowasilishwa kwao. Wakati hayo yakiendelea viongozi, wanaharakati na wadau wa watoto wanapendekeza...

 

10 years ago

GPL

VIONGOZI, WANAHARAKATI WATAKA KATIBA MPYA IMTAMBUE MTOTO NA HAKI ZAKE‏

Mwenyekiti wa Mtandao wa Mashirika yanayofanya kazi na Watoto Tanzania ambaye pia ni Mratibu Miradi, Kituo cha Watoto wa Mtaani cha Dogodogo Kigogo (Dogodogo Centre Street Children Trust), Sabas Masawe. Mkuu wa Mkoa wa Tabora Fatma Mwasa akizungumza na mwandishi wa makala haya. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Watoto na Jinsia wa Tanzania, Anna Maembe akizungumza na mwandishi wa makala… ...

 

10 years ago

Michuzi

VIJANA WALIOTIMIZA MIAKA 18 WAASWA KUPIGA KURA ILI KUCHAGUA VIONGOZI WANAO WATAKA.

Na Avila Kakingo,Globu ya jamii.VIJANA waliotimiza miaka 18 kwa mwaka huu waaswa kupiga kura ili kumchagua kiongozi wanaemtaka na watambue mchango wao katika jamii kwa kupiga kura  kwaajili ya maendeleo ya taifa letu.
Nae Mwenyekiti wa  asasi isiyo ya kiserikali Tanzania People  with Disabilities Organization (TAPWAO), Michael  Mwanzalima ameomba tume ya uchaguzi  kutoa vipaumbele kwa  walemavu wa viungo mbalimbali siku ya kupiga kura ili isiwe kikwazo kwao katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI ATAKA MASOGANGE AKAMATWE

WAZIRI Kivuli wa Mambo ya Ndani, Vincent Nyerere ameibuka na kutoa kauli ya kutaka Video Queen Agnes Gerald ‘Masogange’ akamatwe na kuswekwa ndani akidai kitendo cha kuachiwa huru Afrika Kusini kwa kesi ya madawa ya kulevya si sahihi kwa Bongo. Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, Vincent Nyerere. Akizungumza na Kipindi cha Dakika 45 kilichorushwa hewani Jumatatu usiku na Runinga ya ITV, Nyerere alisema baada ya...

 

9 years ago

Mwananchi

DC aagiza mratibu wa maabara akamatwe

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, Hafsa Mtasiwa ameagiza kukamatwa kwa mratibu wa maabara halmasharuri ya mji  anayedaiwa kujaribu kuiba vifaa vya kupimia malaria,  MRDT.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani