Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakamatwa kwa kuwachoma wanaume 3

Watu 14 wamekamatwa katika jimbo la Bihar Kaskazini mwa India baada ya kushukiwa kuwachoma watu watatyu wakiwa hai pamoja na nyumba zao India

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Wanaume 3 wakamatwa kwa kuwauza watoto wachanga Instagram Iran

Mkuu wa polisi katika mji mkuu wa Iran -Tehran, Brigadia Jenera Hossein Rahimi, amesema kuwa mmoja wa watoto hao wachanga alikuwa ni wa siku 20.Mwingine alikua na umri wa mwezi mmoja.

 

5 years ago

BBCSwahili

Wanaume watatu wakamatwa kwa kuwauza watoto wachanga Instagram Iran

Mmoja wa watoto hao wao akiwa na umri wa siku 20, walidai wa kuuzwa kwa kati ya $2,000 na $2,500.

 

10 years ago

Michuzi

SABA WAKAMATWA KWA KUJIHUSISHA NA UTENGENEZAJI WA NOTI BANDIA ZA DOLA ZA KIMAREKANI WAKAMATWA

Kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam akionesha noti bandia zilizokamatwaJeshi la Polisi katika Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata kundi la watu saba wanaotengeneza noti bandia za dola ya Kimarekani huko maeneo ya Sinza katika Hotel iitwayo Mombasa Kinondoni, jijini Dar es Salaam. 
Watuhumiwa hao walikamatwa mnamo tarehe 04/8/2014 wakiwa na noti bandia zipatazo 10,640 za dola mia (100) ambazo ni sawa na dola 1,064,000 ambazo ni zaidi ya shilingi za Kitanzania...

 

10 years ago

Vijimambo

Auawa baada ya kuwachoma visu wenzake kwenye daladala

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura
By Pamela Chilongola, Mwananchi

Dar es Salaam. Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Mosha Mahona ameuawa na wananchi baada ya kuwachoma kwa kisu abiria watano waliokuwa kwenye daladala linalofanya safari zake kati ya Posta na Ubungo Simu 2000.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi saa moja usiku katika eneo la Magomeni Usalama na Mahona aliuawa kwa kushambuliwa na wananchi baada ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Auawa baada ya kuwachoma visu wenzake kwenye daladala

>Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Mosha Mahona ameuawa na wananchi baada ya kuwachoma kwa kisu abiria watano waliokuwa kwenye daladala linalofanya safari zake kati ya Posta na Ubungo Simu 2000.

 

5 years ago

BBCSwahili

Waislamu nchini Sri Lanka wamelaumu kushinikizwa kuwachoma moto waliopoteza maisha kutokana na virusi vya corona

Waislamu walio wachache nchini Sri Lanka wamelaumu mamlaka kuwashinikiza kuwachoma moto waislamu waliopoteza maisha kwa janga la corona. Kwa mujibu wa dini ya kiislamu jambo hilo haliruhusiwi.

 

10 years ago

Vijimambo

Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi


Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kwa wanaume na wanawake walio kwenye ndoa tu ! kwa wanaotaraji kupata watoto

11098377_1412805635702978_1854371883_n

Pichani ni mwanadada, Hamisa Mabeto ambaye hivi karibuni amebahatika kupata mtoto. Awali ujauzitowa Hamisa Mabeto haukujulikana hadi pale alipopiga picha maalum za mavazi ya ujauzito ambazo zilisambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, ambapo hata hivyo baad ya kusambaa kwa picha hizo, siku chache, Hamisa alijifungua mtoto wake.

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Msomaji wa Modewji blog, unaendelea kuperuzi leo tumewaletea dondoo kidogo katika suala la kuhimarisha familia ndani ya nyumba....

 

11 years ago

Michuzi

26 wakamatwa kwa uvamizi wa mashamba

Na John Gagarini, Kibaha
JUMLA ya watu 26 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kwa tuhuma za kuharibu mazao ndani ya shamba.
Pia watu hao wanatuhumiwa kuvamia mashamba na kuingia kwa jinai kukutwa na bangi kete 38 na gramu 250 za bangi pamoja na pombe ya moshi lita 30.

Akithibitisha kwa kutokea tukio hilo alisema kuwa uvamizi huo ulifanywa kwenye vitongoji vitatu tofauti vya Mkonga, Mkombozi na Tambani wilayani Mkuranga.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Kamishna Msaidizi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani