Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi Bunda hawana chakula

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara, kimeitaka serikali kupeleka chakula cha msaada kwa wananchi ambao mazao yao yameshambuliwa na tembo, kutoka katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, kwa sababu wanakabiliwa na njaa kubwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

UN:Raia hawana msaada wa chakula S Kusini

UN inasema kuwa mamia ya maelfu ya raia hawana msaada wa kuokoa maisha yao kufuatia kuondolewa kwa msaada wa kibinaadamu

 

9 years ago

BBCSwahili

UN: Watu milioni 4 hawana chakula Sudan Kusini

UN imeonya kuwa makumi ya maelfu ya watu huenda wakafa kwa njaa Sudan Kusini kutokana na mapigano makali yanayozuia usambazaji wa vyakula vya msaada

 

11 years ago

Mwananchi

DC Bunda awaasa wananchi wake

Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Joshua Mirumbe amewataka wakazi wa wilaya hiyo kuupokea mwaka mpya wa 2014 wakiwa wamejiandaa kubadilika kifikra na kimtazamo hali itakayoharakisha ukuaji wa maendeleo katika wilaya hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Barabara Bunda kero kwa wananchi

ABIRIA wanaopita kwenye barabara ya Bunda-Ukerewe, wamelalamikia ubovu wa barabara hiyo na kuiomba serikali kuwaondolea kero hiyo. Baadhi ya wananchi hao wakiwemo madereva wa magari ya abiria pamoja na mizigo,...

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri asema wananchi hawana imani na polisi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed amesema wananchi hawana imani tena na Jeshi la Polisi kwa kuwa vitendo vya uhalifu vinafanyika, lakini hakuna wanaotiwa mbaroni.

 

5 years ago

Michuzi

Huduma za Afya Zaboreshwa Bunda na Kuondoa Kero kwa Wananchi

Muonekano wa chumba cha upasuaji katika kituo cha afya Bunda mjini baada ya kuboreshwa  na Serikali ya Awamu ya Tano kwa gharama ya shilingi milioni 500 kwa kujengewa majengo mapya na vifaa tiba vya kisasa.Sehemu  ya  majengo ya  kituo cha Afya Bunda   mjini mkoani Mara  baada ya kuboreshwa na kuanza kutoa huduma za upasuaji kwa wananchi wa mji huo na maeneo ya jirani.(Picha  na  MAELEZO)

Jonas Kamaleki, Bunda 
Utoaji wa huduma za Afya umeboreshwa baada ya Serikali kutoa milioni 500 kwa ajili...

 

9 years ago

StarTV

Mbunge wa Bunda kutowavumilia watendaji wazembe katika utoaji wa huduma kwa wananchi

Mbunge wa jimbo la Bunda Boniphace Mwita amesema kuwa hatawavumilia watendaji wa serikali na viongozi wa ngazi mbalimbali jimboni humo ambao watashindwa kwenda na kasi ya rais Magufuli kwani hatakuwa tayari kufanyakazi na watu wazembe.

Mbunge huyo wa Bunda ameyasema hayo kwenye kikao elekezi alichokiandaa katika kata ya Nyamuswa kikishirikisha viongozi wa ngazi mbalimbali na watendaji wote wa serikali, ili kila mmoja atambuwe wajibu wake wa kutumikia wananchi.

Mbunge wa Bunda Boniphace...

 

11 years ago

Michuzi

ZAIDI YA WANANCHI 50 WAHANGA WA MAFURIKO WAPATIWA MSAADA WA CHAKULA KIJIJI CHA THEMI YA SIMBA ARUSHA

Mzee wa kanisa la Waadventista wasabato  mtaa wa kijenge   Agrey Tumaini akigawa mahindi kwa wananchi wa kitongoji cha kitongoji  cha Nyamagana  kilichopo katika kijiji cha Themi ya simba wilayani Arumeru MKoani Arusha (picha na woinde shizza,Arusha=========  ======  ====== Na Woinde shizza,Arusha
Zaidi ya wananchi  50  wa kitongoji  cha Nyamagana  kilichopo katika kijiji cha Themi ya simba wilayani Arumeru MKoani Arusha ambao waliathiriwa na mafuriko yaliotokea mwisho mwa mwezi wa nne...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani