Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasanii wafurahia Tamasha la Uluguru

WASANII mbalimbali wa filamu mkoani Morogoro, wameelezea kufurahishwa kuandaliwa kwa Tamasha la Filamu la Uluguru ‘Uluguru Film Festival 2013’ linalotarajiwa kufanyika Ukumbi wa Vijana Social ulioko mjini hapa, Desemba 20....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WASANII WAPANIA MAKUBWA TAMASHA LA AMANI

Na Mwandishi WetuTAMASHA la Amani linatarajiwa kufanyika Oktoba 4, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na tayari wasanii mbalimbali wamepania kutoa burudani ya nguvu kwa mashabiki watakaojitokeza.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa wiki hii na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo,Alex Msama ilieleza kuwa wasanii hao wamesema kuna mambo mazuri watayafanya siku hiyo.
Baadhi ya wasanii waliotajwa kwamba watatumbuiza siku hiyo ni Sarah K, John Lissu, Rose Muhando, Upendo...

 

10 years ago

Michuzi

Wasanii LUNDOO watajwa Tamasha la Pasaka

WASANII 87 mahiri wa muziki wa Injili wa hapa nchini na nje ya nchi wamependekezwa na wadau washiriki kwenye miaka 15 ya Tamasha la Pasaka mwaka huu. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Dar es Salaam leo na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama ilieleza kuwa wadau wa muziki huo wameomba waandaaji wahakikishe wasanii hao wanakuwepo mwaka huu. “Kama mnavyofahamu Kampuni yangu ya Msama Promotion mwaka huu inafanya onesho kubwa la miaka 15 tangu tuanze Tamasha la...

 

10 years ago

Michuzi

WASANII 74 WAOMBA KUSHIRIKI TAMASHA LA AMANI

Kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya tamasha la Amani, Alex Msama.
Na Mwandishi WetuKAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Amani, imesema inapata wakati mgumu kuhusiana na idadi ya waimbaji ambao wanaomba kushiriki tamasha hilo litakalofanyika Oktoba 4, mwaka huu. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Alex Msama amesema wiki hii kuwa idadi ya wanaoomba washiriki tamasha hilo imekuwa kubwa kuliko kawaida, ambapo hadi juzi walikuwa waombaji wamefikia 74. “Tunapata maombi mengi, tunajitahidi kadri ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Wasanii wa Tanzania ‘wafunikwa’ Tamasha la Sauti za Busara

Zanzibar. Unaweza kusema U-super staa au kuona muziki siyo kazi ama biashara kama zilivyo nyingine ndiko kulipowaponza wanamuzi wa Tanzania na kujikuta wakishindwa kufanya vyema katika tamasha la mwaka huu la Sauti za Busara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasanii wakamia kivingine Tamasha la Matumaini 2014

AGOSTI 8, Uwanja wa Taifa ‘utasimama’ kwa saa kadhaa kupisha burudani kya nguvu kutoka kwa wasanii ambao watapamba Tamasha la Matumaini linalofanyika kwa mara ya tatu tangu lianze. Lengo la...

 

10 years ago

GPL

WASANII WAANDAA TAMASHA LA KUHAMASISHA KUPIGA KURA

Joseph Haule `Profesor J’ akizungumza na waandishi wa habari, wa kwanza kushoto ni mwanamuziki Kala Jeremiah akifuatiwa na Juma Kassim `Juma Nature’. Msanii wa muziki Bongo, Kala Jeremiah (katikati) akizungumzia tamasha hilo. Kulia kwake ni msanii Joseph Haule `Profesor Jay’ na kushoto ni Juma Kassim ‘Juma Nature’. Msanii `Juma Nature’ akizungumza kwa kina… ...

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Wasanii wetu kususa tamasha ni aibu

>Siku chache zilizopita msanii  Yesaya Ambwene au AY  aliteuliwa na Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (Unicef) kuwa balozi katika ‘Kampeni ya Tokomeza Ukatili Dhidi ya Watoto.’

 

10 years ago

Vijimambo

WASANII MJIANDIKISHE KUSHIRIKI TAMASHA LA MTANZANIA ,KOLON,UJERUMANI

Tamasha litafanyika mjini Koloni,Ujerumani April 2015
Wasanii wanaotaka kushiriki katika katamasha la kongamano la wasanii wa Tanzania na afrika mashariki linalotarajiwa kufanyika mjini Kolon,Ujermani siku ya 8 November 2014 mnaombwa mjiandikishe kwa kuwasiliana katika namba ya simu +49(0)15778645623 .Tamasha hili linania ya kutangaza sanaa za maonyesho za Tanzania nchini ujerumani,wasanii wa ngoma za asili,Sarakasi,Maigizo, Muziki n.k mnakaribishwa kujiandikisha kushiriki Tamasha hili...

 

11 years ago

GPL

MWALIKO WA WA WASANII KWENDA CAIRO, MISRI KWENYE TAMASHA‏

Tarehe: 14/08/2014
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
BASATA Arts Centre                                                                            Tel. 2863748/2860485...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani