Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASOMALI 13 WAKAMATWA MOROGORO

Muonekano wa Wasomali baada ya kukamatwa jana Wilaya ya Mvomero, Morogoro. Polisi akifanya mahojiano na Wasomali hao.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SABA WAKAMATWA KWA KUJIHUSISHA NA UTENGENEZAJI WA NOTI BANDIA ZA DOLA ZA KIMAREKANI WAKAMATWA

Kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam akionesha noti bandia zilizokamatwaJeshi la Polisi katika Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata kundi la watu saba wanaotengeneza noti bandia za dola ya Kimarekani huko maeneo ya Sinza katika Hotel iitwayo Mombasa Kinondoni, jijini Dar es Salaam. 
Watuhumiwa hao walikamatwa mnamo tarehe 04/8/2014 wakiwa na noti bandia zipatazo 10,640 za dola mia (100) ambazo ni sawa na dola 1,064,000 ambazo ni zaidi ya shilingi za Kitanzania...

 

11 years ago

BBCSwahili

Tanzania yawakumbatia wasomali

Tanzania imetoa vyeti vya uraia wa Tanzania kwa raia wa Somalia zaidi ya elfu moja na mia tano ambao kiasili walitokea nchini Tanzania zaidi ya karne tatu zilizopita.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kenya imewafurusha wasomali 82

Serikali ya Kenya imewarudisha nyumbani Wasomali 82 waliokamatwa katika msako mkubwa unaoendelea kukabili ugaidi mjini Nairobi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wasomali walaani marufuku ya Miraa UK

Wasomali waishio Uingereza wanaotafuna mmea wa Miraa wamelaani hatua ya serikali kupiga marufuku mmea huo . Je nini athari yake?

 

11 years ago

GPL

WASOMALI KUCHEZESHA YANGA, WACOMORO

Kikosi cha timu ya Yanga SC. CAF imeteua waamuzi kutoka Somalia kuchezesha mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga ya Tanzania na Komorozine Sports ya Comoro. Mechi hiyo ya kwanza ya raundi ya mchujo itafanyika jijini Dar es Salaam kati ya Februari 7 na 9 mwaka huu wakati ile ya marudiano itachezwa kisiwani Comoro kati ya Februari 14 na 16 mwaka huu.
Mwamuzi wa kati atakuwa Hassan Mohamed Hagi wakati wasaidizi wake ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Wasomali, kuzihukumu Yanga, Azam

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeteua waamuzi kutoka Somalia na Sudan kuchezesha mechi ya  Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga na Komorozine na ile ya Kombe  la ShirikishoAfrika kati ya  Azam FC dhidi ya Ferroviario Da Beira.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wasomali watoroka vita Yemen

Wasomali waliotorokea Yemen sasa wameanza kurudi nyumbani baada ya vita kuzidi nchini Yemen.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wasomali washirikiana vipi Cardif?

Kwa zaidi ya miaka 100, kumekuwa na jumuiya ya wasomali huko Cardiff - Zaidi ya vizazi vinne vinaiona Wales ni nyumbani.

 

10 years ago

Mtanzania

Wasomali wawili mbaroni Tanga

chagonjaNA WAANDISHI WETU, TANGA
JESHI la Polisi nchini kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), limewatia mbaroni watuhumiwa wawili wanaodaiwa kuwa na asili ya Somalia katika msako unaoendelea dhidi ya kundi la wahalifu wa silaha mkoani Tanga.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Jeshi la Polisi mjini hapa, kiliiambia MTANZANIA kuwa watu hao walikamatwa jana saa 5 asubuhi katika eneo la Kijiji cha Amboni Mafuriko, baada ya kuonekana katika eneo hilo wakiwa wanashangaa na hawajui...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani