Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizkid kuja na bendi yake mwenyewe

11906213_1462180174091388_118603131_nWizkid anakuja na bendi yake mwenyewe kutumbuiza Jumamosi hii kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam. Hitmaker huyo wa Ojuelegba alikuwa atue jijini Dar es Salaam mchana Ijumaa hii lakini kutokana na mabadiliko ya ratiba ya ndege ataingia nchi saa sita usiku wa leo. Wizkid ameandika kwenye Twitter kuhusu kuja na bendi yake ambayo […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Wizkid kuja Tanzania mwaka huu kwa mara ya kwanza

Mashabiki wa msanii kutoka Nigeria, Wizkid watarajie kumshuhudia staa huyo juu ya jukwaa la nyumbani. Wizkid anatarajia kuja Tanzania mwaka huu (2015) kwa mara ya kwanza. Wizkid Mwimbaji huyo wa ‘Show You The Money’ ameweka ratiba ya shows anazotarajia kuzifanya na Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo ziko kwenye ratiba hiyo. “Gambia ,London ,Tanzania ,Kenya, […]

 

11 years ago

Mwananchi

Kashkashi angani: Rubani awehuka, ateka ndege yake mwenyewe

Rubabi huyo alitenda kitendo hicho cha ajabu kama njia ya kujaribu kuomba hifadhi ya kisiasa nchini Uswisi.

 

11 years ago

Michuzi

christian bella na bendi yake ya malaika wateka mji wa tabora

 Mpiga kinanda na stage manager wa Malaika Band akiwa kazini usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi mjini Tabora wakati bendi hiyo inayokuja juu kwa kasi chini ya uongozi wa mtunzi na mwimbaji mahiri na mtunzi bora wa mwaka wa Kili Music Awards Christian Bella ilipotumbuiza mamia ya wapenzi wao katika ukumbi huo mkongwe  Safu ya ushambuliaji ya Malaika band wakiwa jukwaani  Mandhari ya ukumbi  Wanenguaji wa Malaika band wakiwajibika Kiongozi, mtunzi na...

 

9 years ago

Bongo5

Shamsa Ford kuja na kampuni yake ya filamu

Shamsa Ford amesema anatarajia kufungua kampuni yake ya filamu baada ya kumaliza mkataba wake na kampuni ya Jerusalem Films ya Jacob ‘JB’ Stephen. Muigizaji huyo ameiambia Bongo5 jana kuwa kwa sasa anaweza kusimama yeye kama yeye akiwa na kampuni yake ya kuzalisha filamu. “Kwanza kabla sijamaliza mkataba na Jerusalem Films kuna filamu mpya inatoka inaitwa […]

 

9 years ago

Bongo5

MB Dog kuja na documentary ya maisha yake ya muziki

MB Dog amesema anajipanga kuachia documendary itakayokuwa inazungumzia maisha yake ya muziki. Muimbaji huyo aliyewahi kuhit na ngoma kama ‘Latifa’ na ‘Si Uliniambia’ amesema ameamua kuachia documentary hiyo baada ya kuona mashabiki wanahitaji. “Awali kidogo Desso alifanya kama movie yake fulani hivi kwahiyo alifanya kama kunishirikisha ‘bwana njoo unipe support’, sasa kile kitu kikawa kimeniletea […]

 

10 years ago

Michuzi

TPHA kuja na jengo la kisasa la kuinua mapato yake

Na Andrew Chale, Bagamoyo
CHAMA Cha Afya ya Jamii Tanzania (Tanzania Public Health Association-TPHA), kipo kwenye mkakati kabambe wa kuendeleza na kuinua mapato ya chama hicho ikiwemo kujenga jengo la kitega uchumi la kisasa litakalo kuwa na zaidi ya gorofa 20, katika makao makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam.
Hayo yalibainishwa mjini hapa jana kwenye kongamano la 31 la Kisayansi na Mkutano mkuu wa mwaka wa TPHA unaoendelea katika ukumbi wa Stella Maris, mjini Bagamoyo ambapo...

 

9 years ago

GPL

WIZKID ATUA DAR, TAYARI KWA SHOO YAKE LEADERS LEO

Wizkid baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) usiku huu. Wizkid akisindikizwa na walinzi mara baada ya kuwasili Dar usiku huu. Warembo wakisubiri kumpokea Wizkid. Wizkid akiongea na…

 

10 years ago

Bongo5

Video: MB Dogg aezelea ujio mpya, ngoma yake na Q-Chief na bendi yao

MB Dogg amesaini mkataba mpya na kampuni ya QS Mhonda J ambayo ndiyo iliyomsainisha pia Q-Chief hivi karibuni. Wawili hao wataanzisha bendi ya pamoja ya kampuni yao, QS Music Band pamoja na waimbaji wengine. Akiongea na Bongo5 TV, MB Dogg amesema wiki ijayo wimbo alioshirikishwa na Q-Chief utaachiwa rasmi huku ngoma yake mwenyewe iitwayo ‘Herufi […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani