Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YOUSSOU N’DOUR ANAOGELEA KWENYE UTAJIRI

Mwanamuziki kutoka nchini Senegal, Youssou N'Dour.  YOUSSOU N’dour ni mwanamuziki kutoka nchini Senegal barani Afrika. Anatumia staili Mbalax ambao ni mchanganyiko wa lugha za asili nchini Senegal ikijumuisha rhumba, jazz, rocky, pop na soul. Jarida la People With Money la Afrika Magharibi limemtaja kwa mara nyingine kuongoza kwa utajiri mwaka 2015 kwa upande wa wasanii wa Afrika akiwa na utajiri wa Dola milioni 145 (zaidi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Video: J. Martins ft. Youssou N’Dour — Time Is Now

J.Martins ametoa wimbo aliofanya collabo na mwimbaji mkongwe wa Senegal, Youssou n’dour uitwao “Time Is Now”. Ujumbe mkubwa ulioko kwenye wimbo huu ni, muda ni sasa wa kufanya mabadiliko tunayoyataka kwaajili ya Afrika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Youssou Ndour ndiye mwanamuziki tajiri

Usanii wa muziki ni miongoni mwa kazi zinazolipa vizuri duniani.Hatahivyo si kila mtu anayefanikiwa katika sekta ya muziki.

 

9 years ago

Mwananchi

Duara la Utajiri

Niliwaza kwa nini mtu kama Eric anamtaja Mungu. Akili yangu daima nilijua kuwa hakuna tajiri katika ulimwengu huu aliupata kwa kumtumaini Mungu na kumwamini maana ndiye chanzo cha mafanikio ya mwanadamu. Usiku ule sikusumbuka sana kwani macho na masikio yangu vilimwona na kumsikia Eric ambaye sasa niliishi naye  chumbani mwangu kupitia santuri. Hata hivyo moyo wangu ulihitaji guso halisi la Eric. Uzito wa upweke na kukiona kitanda ilikuwa ni tabia ambayo ilienea baada ya kupokea barua za...

 

11 years ago

GPL

UTAJIRI WA VICKY...

Stori: Jelard Lucas
WANAWAKE na maendeleo, tufanye kazi, tusonge mbele, yelele…yelele… Hii sehemu ya mashairi ya wimbo wa staa wa muziki wa kizazi kipya na Mbunge wa Viti Maalum (UVCCM), Geita, Vicky Kamata anayetajwa kuwa na utajiri balaa. UWAZI LINA KILA KITU
Vicky amepata mafanikio makubwa ambayo kila mwanamke Tanzania angependa kuyapata. Gazeti hili lilimchimba kwa kina na kupata utajiri wote alionao kwa sasa....

 

11 years ago

GPL

UTAJIRI WA MASANJA KUFURU!

Stori: Shakoor Jongo
UTAJIRI wa komediani maarufu Bongo,  Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi. Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ akiwa mbele ya usafiri na mjengo wake. HABARI MEZANI
Awali, habari kuhusu utajiri wa Masanja ilitua mezani mwa gazeti...

 

11 years ago

GPL

UTAJIRI WA DIDA GUMZO!

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
AMINI usiamini lakini ndivyo ilivyo! Utajiri wa Mtangazaji wa Radio Times FM ya jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’ umeibua gumzo midomoni mwa watu wakidai kuna walakini juu ya upatikanaji wake. Toyota Verossa ikiwa imepaki pembeni ya ghorofa analodaiwa kumiliki Dida. Kwa mujibu wa chanzo makini, Dida ana utajiri mnono lakini anafanya siri ili watu wasiulize alikoupatia kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Majirani kushiriki utajiri wa gesi

UTAFITI zaidi wa mafuta na gesi unaoendelea nchini, unaweza kuilazimu nchi kuingia katika makubaliano ya uzalishaji wa pamoja wa sehemu ya nishati hiyo na nchi za jirani. Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa iliyowekwa hivi karibuni katika Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa, imefafanua kwa undani historia ya mafanikio ya sekta hiyo muhimu kwa maisha ya kiuchumi ya Watanzania na uwezekano huo katika siku za hivi karibuni. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kuna baadhi ya miamba inayozalisha gesi...

 

9 years ago

Global Publishers

TRA watikisa utajiri wa Dk.Fadhili

DOKTA-FADHILI-AMZAWADIA-ZARI-BAISKELI.jpgDk. Fadhili Emily.

Mwandishi wetu
KASI ya Rais Dk. John Pombe Magufuli inatikisa kila kona. Baada ya mtabibu Dk. Juma Mwaka ‘JJ Mwaka’ kuibukiwa hospitalini kwake na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Hamis Kigwangalla wiki iliyopita na kuagizwa uchunguzi wa uhalali wa huduma zake, hali imekuwa tete kwa mtatibu mwingine, Dk. Fadhili Emily anayemiki kliniki ijulikanayo kama The Fadhaget Sanitarium iliyopo Afrikana Mbezi Beach jijini Dar.

dk fadhili (9)Imeelezwa kuwa, Dk....

 

11 years ago

Habarileo

Makinda akemea 'utajiri' bungeni

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda ametaka wanaotarajia kugombea katika uchaguzi mkuu wa 2015 kujiweka sawa kiuchumi badala ya kutegemea kutajirika wakiwa bungeni. Wakati Makinda akitoa ushauri huo kwa wajumbe wanawake wa Bunge Maalumu la Katiba, kwa upande wake Mwenyekiti wa Wabunge Wanawake, Anna Abdalah amesema wanaosema posho ya Sh 300,000 kwa siku haitoshi wana sababu zao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani