Matokeo ya Utafutaji
10 years ago
GPLCHIDI BENZ APANDISHWA KIZIMBANI KISUTU
10 years ago
Vibe Magazine TZ28 Oct
Chidi Benz apandishwa kizimbani leo…
Baada ya kukamatwa na polisi uwanja wa ndege wa Julius Nyerere , mwanamuziki , Chidi Benz leo amepandishwa katika mahakama ya Kisutu ambapo amesomewa mashtaka matatu yakiwamo Kukuta na madawa ya kulevya pamoja na vifaa vinavyotumika kutayarisha uvutaji wa madawa hayo , kusafirisha madawa ya kulevya na utumiaji wa madawa hayo.
Chidi Benz amerudishwa rumande hadi novemba 11 ambapo atapanda tena kizimbani.Baada ya tarehe hio ndio Chidi Benz anaweza kupatiwa dhamana ambapo atatakiwa kupeleka...
10 years ago
CloudsFM07 Nov
CHIDI BENZ KUACHIA ALBUM YA PAMOJA NA FID Q
Tasnia ya muziki wa kizazi kipya sasa hivi inasubiria kwa hamu album ya pamoja ya wasanii wakubwa wa hip hop ndani ya Afrika Mashariki, album kati ya Chidi Benz na Fid Q.
Sasa hivi Chidi Benz ana zaidi ya wiki uraiani baada ya kukaa zaidi ya siku nne nyuma ya nondo, alisema kuwa bado hawajaanza kurekodi lakini muda si mrefu wataanza kurekodi na anaamini itakuwa ni bonge la albam mashabiki wakae tayari.
10 years ago
Bongo524 Oct
Chidi Benz akamatwa na dawa za kulevya airport
10 years ago
Bongo504 Dec
Chidi Benz kurudi tena mahakamani January 15
10 years ago
Bongo529 Oct
Chidi Benz apata dhamana baada ya kutimiza masharti
10 years ago
Bongo511 Nov
‘Niombeeni’ — asema Chidi Benz, kupanda kizimbani leo
10 years ago
Bongo528 Nov
Chidi Benz azungumzia kesi yake na video ya ‘Mpaka Kuchee’
10 years ago
Bongo511 Dec
Huu ni ushauri wa Chidi Benz kuhusiana na suala la Diamond na Davido
11 years ago
CloudsFM14 Jul
SAKATA LA CHIDI BENZ KUMSHUSHIA KICHAPO RAY C LAFIKISHWA POLISI
Msanii wa Bongo flava Rashid Makwiro ‘Chidi benz’ hivi karibuni aliandikwa kwenye mtandao wa global publishers kuwa usiku wa kuamkia siku ya Alhamisi iliyopita alidaiwa kumshushia kichapo cha nguvu msanii mwenzake Rehema Chalamila’Ray C’ nyumbani kwa msanii huyo,suala la hilo limefikishwa polisi.