Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chilolo awakumbuka wazee


MBUNGE wa Viti Maalumu Diana Chilolo, (CCM), amehoji mkakati wa serikali kuwasaidia wazee wasiojiweza walioko kwenye maeneo mbalimbali nchini.
Diana alihoji hatua hiyo bungeni mjini hapa jana  alipokuwa akiuliza swali la nyongeza. Mbunge huyo  alitaka kujua ni lini serikali itaanza kuwalipa pesheni wazee wote nchini.
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga, aliitaka jamii kuwasaidia wazee na kuwaondoa kwenye mazingira ya kuzurura.
Aidha, alizataka halmashauri nchini kuchukua hatua...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MTITU AWAKUMBUKA WASANII WALIOFARIKI

Na Rhoda Josiah MWENYEKITI Msaidizi wa Klabu ya Bongo Movie Unity, William Mtitu ameguswa na kuamua kutembelea makaburi ya wasanii mbalimbali waliofariki dunia. Mwenyekiti Msaidizi wa Klabu ya Bongo Movie Unity, William Mtitu. Akizungumza na Amani mara baada ya kutembelea Makaburi ya Kinondoni wiki iliyopita, Mtitu alisema ameamua kufanya hivyo kwani amegundua wasanii wengi… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Chilolo aula ukamanda UVCCM Singida mjini, ataka mshikamano vijana na MO

DSC00527

Diana Chilolo (katikati) akila kiapo kuwa kamanda wa UVCCM manispaa ya Singida kwenye viwanja ofisi ya CCM mkoa wa Singida mjini Singida. Kulia ni katibu mkuu UVCCM taifa, Sixtus Mapunda ambaye alimwapicha Chilolo na kushoto ni kamanda msaidizi wa UVCCM manispaa ya Singida, Hassan Dumwala.

Na Nathaniel Limu

VIJANA waishio Jimbo la Singida Mjini, wameshauriwa kufanya kazi karibu na Mbunge wao, Mohammed Dewji ili kuharakisha upatikanaji maendeleo ya jimbo hilo, pamoja na ya kwao binafsi.

Wito...

 

9 years ago

GPL

DK MAGUFULI, CHILOLO WAISAMBARATISHA NGOME YA TUNDU LISSU SINGIDA MASHARIKI‏

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi katika Jimbo la Manyoni, mkoani Singida, wakati wa mkutano wa kampeni. 
 Wananchi wakishangilia wakati Dk Magufuli akitoa ahadi mbalimbali kwa wananchi kuhusu elimu ya bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne, utaratibu utakaoanza mwakani endapo wananchi wakimpa ridhaa ya kuongoza nchi.…
...

 

10 years ago

GPL

DEVOTA AWAKUMBUKA MZEE SMALL, KUAMBIANA

Stori: Rhoda Josiah WAKATI wasanii mbalimbali wakijumuika pamoja katika kisomo cha kuwakumbuka marehemu kilichotayarishwa na Bongo Movie jijini Dar juzikati, mdada anayefanya poa kwenye anga la filamu, Devota Mbaga, amejikuta kwenye simanzi nzito akiwakumbuka Mzee Small na Adam Kuambiana, akisema walikuwa watu wake wa karibu aliotoka nao mbali. Mdada anayefanya poa kwenye anga la filamu, Devota Mbaga. “Siku ya leo ni...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete awakumbuka watoto mahabusu Arusha



Na Mussa Juma, Mwananchi
Atoa mbuzi wawili kwa ajili ya kushereheka Pasaka
Arusha. Rais Jakaya Kikwete ametoa msaada wa mbuzi wawili, chakula na mafuta kwa watoto waliopo mahabusu mkoani hapa ili kusheherehea Sikukuu ya Pasaka.Akikabidhi msaada huo, Ofisa Maendeleo ya Jamii Sekretarieti ya Mkoa wa Arusha, Thabita Matiko alisema juzi kuwa vitu vyote hivyo vina thamani ya Sh400,000.

Alisema watoto hao wanapaswa kusherehekea Pasaka kama wengine wanaoishi na wazazi wao.

Wakati huohuo, Ofisa Ustawi...

 

10 years ago

Vijimambo

MATUKIO KATIKA PICHA YA MTANANGE WA WAZEE WA KUNDUCHI YANGA 0 NA WAZEE WA SAUZI SIMBA 0

Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (kulia), akiondosha mpira wa hatari katika eneo la langoni kwake huku mshambuliaji wa Simba, Elius Maguri (katikati) akijaribu kunyoosha guu ili kupiga mpira huo bila mafanikio wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliomaliziki jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, bila timu hizo kufungana. Kushoto ni Kelvin Yondan, akijiandaa kutoa msaada.

MATOKEO KAMILI YA MECHI ZA LIGI KUU KATIKA VIWANJA SITA HII LEO:-

YANGA 0- SIMBA 0
NDANDA...

 

5 years ago

Michuzi

WAZEE WAIPONGEZA SERIKALI SHINYANGA KUPUNGUZA MAUAJI YA WAZEE

Baraza la Wazee mkoa wa Shinyanga limeipongeza Serikali ya mkoa huo, kupunguza tatizo la mauaji ya wazee pamoja na watu wenye ualbino, ambao walikuwa akiuawa kwa sababu ya imani potofu za kishirikina.


Wazee wametoa pongezi hizo leo Machi 11,2020 kwenye kikao cha Baraza la Wazee Mkoa wa Shinyanga, kilichofanyika kwenye hospitali ya rufani ya mkoa wa Shinyanga, kilichokuwa na lengo la kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi likiwamo suala la matibabu.  Akisoma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani