Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hofu ilichangia vifo ndani ya feri

Habari zinaonyesha kulitokea hali ya wasiwasi kabla ya mkasa wa feri nchini korea kusini.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

VIFO VYA MASTAA VYAMPA HOFU DAVINA

Stori: Hamida Hassan HOFU! Staa wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ amewashauri wasanii kujikabidhi mikononi mwa Mungu kwani anaona jinsi wasanii wanavyozidi kupukutika. Halima Yahya ‘Davina’. Kuonesha msisitizo, Davina amewasihi wasanii wenzake kuacha kutumia pombe na kwa wale ambao wanatajwa katika ishu za usagaji, waache mara moja kwani Mungu anajidhirisha kila kukicha kwamba yupo na watu...

 

9 years ago

StarTV

Hofu ya vijana kushindwa kuwatunza wazee yadaiwa kuchangia vifo.

 

Hofu ya vijana wengi ya kutokuwa na uwezo wa kuwatunza wazee imesabanisha wazee wengi kuuawa kwa kusingiziwa kuwa ni wachawi kwa kigezo cha kuwa na macho mekundu.

Hayo yamebainika katika kikao kati ya wazee na wandishi wa habari mkoani Ruvuma walipokuwa wakijadili kuhusu kuuawa kwa wazee kunakodaiwa kutokea katika kata ya Lilambo ambako wazee wamekuwa wakinyeshwa dawa inayosadikiwa kuwa ina sumu na mara baada ya kunyweshwa hupoteza maisha.

 

Wanawake wazee wakiongea kwa uchungu wamesema...

 

10 years ago

Habarileo

Ajali tatu vifo 40 ndani ya siku sita

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Mohamed MsangiMSHITUKO wa matukio ya mfululizo ya ajali, umeendelea kugubika nchi, baada ya watu 20 kupoteza maisha katika ajali ya basi dogo aina ya Toyota Hiace, iliyotokea jana wilayani Rungwe mkoani Mbeya.

 

11 years ago

GPL

UNDANI VIFO VYA WATOTO 3 NDANI YA BWANA INASIKITISHA!

KUFUATIA vifo vya watoto watatu waliokufa kwa pamoja ndani ya bwawa la kuogelea ‘swimming pool’ kwenye Hoteli ya Landmark, Mbezi Beach jijini Dar, undani  wa vifo hivyo umejulikana, Amani lina kisa kamili. Mmoja kati ya marehemu aliyepatwa na janga hilo. CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo chetu, watoto walionusurika kufa ambao  walikuwa wakisherehekea siku ya kuzaliwa ya mwenzao ‘bethidei’...

 

10 years ago

Michuzi

mambo ya kushangaa feri....

Kamera yetu leo imemnasa mdau huyu akibadili pozz mbali mbali wakati akiendeleza mshangao kwenye vyombo vya majini vikiwa vinapita juu ya maji wakati yeye akitupa shilingi inazama.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Daladala zakwama kwenda Feri

USAFIRI wa daladala za kwenda Kivukoni uliotarajiwa kuanza mwishoni mwa Julai, umeshindikana kutokana na barabara kutokamilika. Siku chache zilizopita Mamlaka  ya Usafirishaji wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), ilitangaza  kurejesha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wavuvi Feri waiangukia serikali

WAVUVI wa soko la samaki la Feri jijini Dar es Salaam, wameitaka serikali kuwatengea eneo maalum la kufanyia shughuli zao, baada ya kupewa agizo la kuhama. Hatua hiyo ya kuhamishwa,...

 

9 years ago

Habarileo

Lebanon ya Feri ni hatari kwa wafanyabiashara

ENEO la Lebanon katika Soko la Kimataifa la Samaki la Feri ambalo lipo jirani na Ikulu jijini Dar es Salaam limedaiwa kuwa ni hatari kwa wafanyabiashara wa soko hilo.

 

9 years ago

Habarileo

Rais Magufuli asafisha Ikulu, Feri

UHURU na Kazi ndivyo ilivyokuwa jana nchini kote katika maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru, ambapo Rais John Magufuli aliudhihirishia Watanzania na ulimwengu wote kwamba kwake ni kazi tu, kwa kuongoza wananchi na wavuvi wadogo kufanya usafi nje ya Ikulu ya Dar es Salaam na eneo la Feri, Magogoni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani