Makubaliano haya yaimarishe demokrasia
Juzi, vyama vinne vya siasa Tanzania; NLD, CUF, NCCR – Mageuzi na Chadema vilitia saini makubaliano ya ushirikiano kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa baadaye mwaka huu na Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog09 Sep
Makubaliano ya JK na ukawa ni haya hapa
Mwenyekiti wa TCD, John Cheyo.
.katiba ya zamani kufanyiwa marekebisho
.Ni kuruhusu tume huru na mgombea binafsi
.Ni makubaliano ya viongozi wa vyama vya siasa
Na Lukwangule Blog
KATIBA inayotumika sasa ya mwaka 1977 itafanyiwa marekebisho muhimu kupisha uchaguzi mkuu ujao, na Rais ajaye ataamua hatima ya katiba mpya ya Tanzania.
Hayo yametamkwa leo na Mwenyekiti wa TCD, John Cheyo akizungumza na waandishi wa habari .
Kwa matamko ya Cheyo mchakato wa kuandika katiba umesitishwa.
Cheyo...
10 years ago
Tanzania Daima22 Oct
CCM na ubakaji wa demokrasia
DODODMA, uliteuliwa mwaka 1972 kuwa makao makuu ya chama na serikali enzi za chama cha ukombozi; yaani, Tanganyika Africans National Union (TANU) na baadaye Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tangu hapo,...
11 years ago
BBCSwahili28 Apr
A. Kusini:Miaka 20 ya demokrasia
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
NEC isimamie demokrasia
WAKATI leo baadhi ya Watanzania wanashiriki kupiga kura kwa ajili ya kupata madiwani katika kata 27 katika maeneo mbalimbali Tanzania Bara, ni vyema zoezi hilo likafanyika kwa ustaarabu na kuepuka...
5 years ago
MichuziDemokrasia itaendelea kuheshimiwa nchini
Na Eleuteri Mangi, WHUSM, Dodoma
Serikali inaendelea na zoezi la Kidemokrasia la wananchi kuboresha taarifa za wananchi kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ambazo zitatumika kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Mdiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2020.
Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi ameongoza zoezi hilo kwa Makatibu Wakuu leo Mei 04, 2020 hapa jijini Dodoma kuhakiki na kuhuisha taarifa zao katika ikizingatiwa...
11 years ago
Tanzania Daima12 Feb
Demokrasia changa na dhana ya kuaminiana
SIKU chache zilizopita nilisoma katika gazeti moja la Kiswahili (sio Tanzania Daima) likimnukuu Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA, Profesa Mwesiga Baregu akitaja sababu kama tatu hivi ambazo zinaonekana kuitesa...
9 years ago
BBCSwahili08 Dec
UN: Demokrasia imo mashakani DR Congo
9 years ago
Mwananchi22 Aug
Amani, umoja na demokrasia vitawale
10 years ago
BBCSwahili21 Jul
Nkurunziza ajivunia kuleta demokrasia