‘NHC iondolewe kodi ya majengo’
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amekubaliana na kilio cha Shirika la Nyumba kuomba iondolewe kodi kwa lengo la kupunguza gharama za nyumba kwa Watanzania wenye kipato cha chini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper03 Sep
NHC yakarabati majengo ya shule
NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC), limetumia sh. milioni 31.5 kukarabati majengo ya utawala na madarasa katika Shule ya Msingi Hassanga, iliyopo Uyole jijini Mbeya.
Hatua hiyo inatokana na ombi la Kamati ya Uongozi wa shule hiyo iliyowasilishwa na Ofisa Elimu wa wilaya kwa uongozi wa NHC mkoa wa Mbeya, mapema mwaka huu.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi majengo hayo ambayo ni madarasa manne na jengo moja la utawala,...
9 years ago
MichuziWamiliki wa majengo wahimizwa kulipa kodi
10 years ago
Mwananchi25 Aug
Kusanyeni kodi za majengo-Waziri Nchemba
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Kibaha yakusanya mil. 122/- kodi ya majengo
HALMASHAURI ya Mji wa Kibaha, Pwani imesema hadi Juni 30, 2014 imekusanya sh milioni 122 kodi ya majengo ambayo ni sawa na asilimia 77 kati ya sh milioni 158.4 iliyotarajiwa....
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Mchechu aongoza wafanyakazi wake kufanya usafi katika majengo ya NHC
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiongoza kwa vitendo zoezi la kufanya usafi katika majengo ya NHC na maeneo yanayozunguka barabara za Ali Hassan Mwinyi, Alikhan, Barak Obama na Magore UPANGA jijini Dar es Salaam leo. Menejimenti ya NHC imeamua kuwa kufanya usafi kwenye majengo ya Shirika ili kuonyesha kwa vitendo utekelezaji wa agizo la Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli wa kuitumia Sikukuu ya Uhuru na Jamhuri...
9 years ago
Mwananchi02 Jan
Mchungaji Msigwa adai CCM inakwepa kodi ya majengo
10 years ago
Dewji Blog19 Mar
Mfumo wa Kielektroniki kutumika ukusanyaji wa kodi ya majengo jijini Mwanza
Mbunge wa Magu, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Aggrey Mwanri.
Na. Johary KachwambaJIJI la Mwanza limeingizwa katika mfumo wa kielektroniki wa utambuzi wa majengo yote yanayopaswa kufanyiwa uthamini unaojulikana kama Local Government Revenue Collection Information System (LGRCIS) kupitia mradi wa Miji ya kimkakati (TSCP) unaohisaniwa na Benki ya Dunia. Katika kujibu swali la Mhe.Dkt. Festus Bulugu, Mbunge wa Magu, Naibu Waziri wa...
10 years ago
Mwananchi05 May
Wapangaji NHC walia na kodi
10 years ago
Habarileo26 May
Serikali yatathmini kuondoa kodi NHC
SERIKALI imesema inaangalia uwezekano wa kupunguza Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) katika nyumba zinazojengwa na Shirika la Nyumba nchini (NHC) ili kupunguza bei za nyumba hizo.