NJEMBA INAPOONYESHA MFANO MZURI WA ‘POMBE SI CHAI’!
Njemba ikiwa kando ya barabara ikiwa chakari kutokana na kinywaji kilichosadikiwa kilikuwa katika chupa inayoonekana kando. NJEMBA moja imenaswa na kamera yetu ikiwa ‘tilalila’ mchana huu kutokana na ‘kubugia’ kilevi na kujikuta, bila kujitambua, imelala pembezoni mwa barabara maeneo ya Sinza-Afrika Sana Jijini Dar, jambo ambalo ni hatari. (PICHA NA DENIS MTIMA /GPL) ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo22 Dec
Huu ni mfano mzuri wa kuwajibika
USIKU wa Ijumaa Desemba 20, Watanzania walishuhudia kutenguliwa kwa uteuzi wa mawaziri wanne baada ya Rais Jakaya Kikwete kukubaliana na kilio cha wabunge cha kumtaka awawajibishe mawaziri hao kutokana na makovu mabaya yaliyotokana na Operesheni Tokomeza Ujangili.
11 years ago
Mwananchi23 Jan
Forodhani: Mfano mzuri wa utalii wa chakula
5 years ago
CCM BlogMBUNGE HONGOLI AWATOA HOFU WAKULIMA WA CHAI LUPEMBE KUHUSU MALIPO YAO YA CHAI
5 years ago
MichuziMBUNGE HONGOLI AWATOA HOFU WAKULIMA WA CHAI LUPEMBE KUHUSU MALIPO YAO YA CHAI
Mbunge wa Jimbo la Lupembe, Joramu Hongoli akihutubia mkutano wa hadhara katika Kata ya Lupembe, mkoani Njombe, ambapo pamoja na mambo mengine alisisitiza kuimarisha umoja na mshikamano kati ya wananchi na viongozi mbalimbali ili kurahisisisha kutatua kero na kuleta maendeleo katika Kata hiyo. Pia alizungumzia suluhisho la malipo ya wakulima wa chai wanaovidai viwanda . Aliwatoa hofu kwamba wasiwe na wasiwasi serikali iko pamoja nao na kwamba fedha zao watalipwa hivi punde. Kutoka kulia ni ...
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KOwdycLvXTywF4ka0f1kAhAY1Sd3IAP1dw*EbO*x7KQmGwuQ9qy9r-n1eDZr84RuzO3M1v6HuR52qsFvwh7nRazDaa60LRT/njembacopy.jpg?width=650)
NJEMBA ASHIKISHWA ADABU!
11 years ago
GPLNJEMBA ANASWA AKICHAFUA MAZINGIRA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pwNUcGVK-dXXpVI1DQszZWGKtoc-l5DIuSMSzqHEB9froaqqKrRNFhdiUtSeZcFnGwbT9dhw1KOlzw7jmoU62jWj6tp1uCQ4/BACKRISASIJMOSI.gif?width=650)
NJEMBA WAZICHAPA KAVUKAVU STENDI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dbMjjoDsYkiiLTcat9YnVvB6J-3hNknQCW*pVIYl4lhO8MHuZ60lBudtqD7OgbvefvzPfSQZ2DATRidHdeGK15a/AUNTLULU.jpg?width=650)
ANTI LULU ANASWA NA NJEMBA