Tamwa yapongeza uteuzi wa Samia
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake TAMWA Zanzibar kimepongeza uteuzi uliofanywa na mgombea wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano Dk John Magufuli wa kumteua Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza wa nafasi ya rais ya makamo wa rais wa muungano.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Men, Just Pro01 May
TAMWA: We are not anti
IPPmedia
There is this belief that female activists are always angry, whining, agonising, unhappy, troublesome, and can be very anti social! This image is enhanced every time they open their mouths they appear to be just that! Some go to the extent of calling them anti ...
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
CHADEMA yapongeza wananchi
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Ziwa Magharibi, kimewapongeza wananchi wa majimbo na kata zote katika ukanda huo, kwa uamuzi wao wa kuwachagua wabunge na madiwani wanaotokana na...
9 years ago
Habarileo31 Oct
UN yapongeza uchaguzi Tanzania
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Kimoon, ametuma salamu za pongezi kwa Watanzania, Serikali na vyama vya siasa, kwa namna walivyoshirikiana katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu na kumpata Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli.
10 years ago
BBCSwahili01 Apr
AU yapongeza uchaguzi Nigeria
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
AAAC yapongeza kauli ya JK
KLABU ya African Ambassador Athletics (AAAC) ya jijini Arusha, imempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kutambua na kusema ukweli jinsi ya kupata wanamichezo mahiri nchini, hasa wanariadha. Kwa mujibu wa taarifa...
10 years ago
Habarileo01 Apr
Bilal asifia Tamwa
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal alisema serikali itaendelea kuthamini mchango wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) katika kufikia malengo ya kupunguza umasikini mchini (MKUKUTA) na (MKUZA) na kuleta usawa wa kijinsia katika jamii mbalimbali nchini.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-0PBthLeGFWI/Uvtz7h_ZDkI/AAAAAAACal4/emv8NrAOIIY/s72-c/images.jpg)
BASATA YAPONGEZA TAMASHA LA KRISIMASI
![](http://4.bp.blogspot.com/-0PBthLeGFWI/Uvtz7h_ZDkI/AAAAAAACal4/emv8NrAOIIY/s1600/images.jpg)
Akizungumza katika Kikao cha kuwasilisha ripoti ya tathmini ya Tamasha la Krismasi iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa mikutano wa Basata, Ofisa...
11 years ago
Habarileo30 Apr
Serikali yapongeza mradi wa Champion
SERIKALI imepongeza juhudi zilizofanywa na Mradi wa Champion katika kupunguza maambukizi ya Ukimwi. Hayo yalisemwa leo na Mganga Mkuu wa Serikali, Donan Mmbando katika mkutano wa kufunga mradi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam.
5 years ago
MichuziUSAID yapongeza jitihada za THBUB