Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Habari na watu waliotafutwa zaidi mtandaoni mwaka 2014 Tanzania

TZToday

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KIFUA KIKUU: UGONJWA UNAOUA ZAIDI YA WATU MILIONI 1 DUNIANI KILA MWAKA

Mgonjwa wa kifua kikuu akipatiwa matibabu. KWA Tanzania, watu 120,191 hukisiwa kuwa na ugonjwa wa kifua kikuu kila mwaka, hii ni kutokana na taarifa ya Shirika la USAID ya mwaka 2007 na vifo vinavyotokana na ugonjwa wa kifua kikuu ni 32,000 kila mwaka hapa nchini Tanzania. Takwimu za Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) zinaonyesha kuwa Tanzania ni ya 15 kati ya nchi 22 ambazo zimeathiriwa sana na ugonjwa huu na kwa mujibu wa...

 

11 years ago

CloudsFM

BRIAN TRACY nmzungumzaji maarufu ambae uzungumza na zaidi ya watu 250000 kila mwaka

BRIAN TRACY ni mzungumzaji maarufu ambae uzungumza na zaidi ya watu 250000 kila mwaka na kampuni yake ya BRIAN TRACY International imekuwa ikitoa mafunzo yanayohusaidia mtu, au kampuni kufikia malengo ya biashara yake kwa haraka zaidi.Brian Tracy amefanya kazi na kampuni zaidi ya 1000 amezungumza na zaidi ya watu milioni 5 katika mikutano 5000 aliyofanya ndani ya Marekani, Canada na nchi 55 nyingine duniani. Leo hii alikuwa kwenye Powerbreakfast.

 

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2014

Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja akitoa hotuba yake fupi katika Baraza la kufunga Mwaka 2014 na kuukaribisha Mwaka Mpya 2015 katika Ofisi za Makao Makuu ya Magereza(kulia) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(kushoto) ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Magereza, Mmeta Manyala. Baadhi ya Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza kutoka Ofisi ya Makao Makuu ya Magereza pamoja na Mkoa wa Dar es Salaam wakisikiliza kwa...

 

10 years ago

GPL

MAJANGA MWISHONI MWA MWAKA 2014: NDEGE YA AIRASIA QZ8501 YAPOTEA IKIWA NA WATU 162

NDEGE ya AirAsia, QZ8501 iliyokuwa na watu 162 ikitokea Indonesia kwenda Singapore imepoteza mawasiliano leo asubuhi. Kati ya watu hao 162, abiria walikuwa 155, marubani 2 na wafanyakazi wa ndege hiyo 5. Watu 157 ni raia wa Indonesia, 3 raia wa Korea Kusini, 1 kutoka Malaysia na 1 raia wa Singapore. Imeelezwa kuwa kabla ya ndege hiyo kupoteza mawasiliano, rubani aliomba kubadili uelekeo wa kawaida kutokana na hali mbaya ya hewa....

 

11 years ago

Michuzi

LHRC YATOA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YA NUSU MWAKA KUANZIA JANUARY HADI JUNI 2014

Dotto Mwaibale
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimesema kuwa hadi kufikia Juni 2014 wanawake na wasichana 2878 wamebakwa nchini kutokana na vitendo vya ukatili dhidi yao.
Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho, Dk. Helen Kijo-Bisimba wakati akitoa taarifa ya kipindi cha nusu mwaka kuanzia Januari na Juni mwaka huu kwa vyombo vya habari Dar es Salaam leo.
"Vitendo hivyo vya kikatili dhidi ya makundi hayo vilivyoripotiwa polisi kwa nchi nzima vilikuwa 3,633"...

 

11 years ago

Michuzi

HAFLA YA KUFUNGA MAFUNZO YA WADADISI NA WAHARIRI WA MADODOSO YA UTAFITI WA WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI WA MWAKA 2014

 Baadhi ya Wadadisi na Wahariri wa Madodoso ya Utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi wa mwaka 2014 , katika ngazi ya Kanda ya Pwani na Kusini yenye Mikoa ya Mtwara , Lindi, Dar es Salaam , Pwani na Morogoro ambao walishiriki mafunzo ya wiki  tatu, mjini hapa , wakimsikiliza mgeni rasmi ( hayupo pichani) wakati wa kufunga mafunzo hayo  Baadhi ya Wadadisi na Wahariri wa Madodoso ya Utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi wa mwaka 2014 , katika ngazi ya Kanda ya Pwani na Kusini...

 

10 years ago

Bongo5

2014 Forest Hills Drive ya J.Cole yawa album ya hip hop iliyouza zaidi kwenye wiki ya kwanza mwaka huu

Album mpya ya J.Cole, 2014 Forest Hills Drive imeuza kopi nyingi zaidi kwenye wiki ya kwanza kuliko album yoyote ya hip hop iliyotoka mwaka huu. Rekodi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na album ya Rick Ross, Mastermind iliyouza kopi 179,000 kwenye wiki yake ya kwanza. Album ya Cole imeizidi mara mbili Mastermind kwa kuuza kopi 361,000 kwenye […]

 

10 years ago

Mwananchi

Bryan: Jina linalopendwa zaidi mwaka 2013/14 Tanzania

Baada ya miaka michache, majina ya Bryan, kwa wanaume, na Rahma kwa wasichana, yatakuwa yakisikika kila kona nchini kutokana na wazazi wengi kuyateua kwa ajili ya kuwabatiza watoto wao.

 

10 years ago

Vijimambo

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA JOHN MINJA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2014, MAKAO MAKUU YA MAGEREZA, D'SALAAM

Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja akitoa hotuba yake fupi katika Baraza la kufunga Mwaka 2014 na kuukaribisha Mwaka Mpya 2015 katika Ofisi za Makao Makuu ya Magereza(kulia) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(kushoto) ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Magereza, Mmeta ManyalaBaadhi ya Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza kutoka Ofisi ya Makao Makuu ya Magereza pamoja na Mkoa wa Dar es Salaam wakisikiliza kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani